Mh. Kigwangala amechokonoa yanayonyamaziwa, bila umakini kuna siku Mo atasema Simba SC ni mali yangu na tutakuwa tumechelewa

Watu wengi wanabishana nje ya mada, hakuba anayempinga uwekezaji au kumpinga mo.
Sababu kubwa ni kutaka Simba iwe timu kubwa afrika. Kamaulimfatilia mo kqbla hajafanya uwekezaji alisema atatoa bilioni 20 ambazo simba wataweka kwenye akaunti maalumu na pesa itakayopatikana itatumika kwa maendeleo ya Simba ikiwemo kulipa mishahara na maendeleo mengine lakini kipindi hichohicho Simba walipata mkataba na sportpesa mo alikuja juu na kusema hakushirikishwa ingawa mchakato ulikuwa haujaanza.
Kinachonfanya mo asitoe pesa ni kutaka Simba imtegemee yeye binafsi zaidi badala ya kujitegemea kama taasisi hivi kwa bahati mbaya leo mo kaondoka duniani simba watawezaje kulipa mishahara na gharama nyingine. Sanasana watarudi kama yanga kutembeza bakuli lakini kama mo yuko kwa ajili ya simba atoe bilioni 20 kama yalivyo makubaliano
 
Napandisha uzi
 
Kigwangala ni masikini, hastahili kujibizana na Mo. Mwenye njaa apambane na mwenye njaa mwenzake
 
We NO akisema timu ni yake unaathirika nini?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…