Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifupi.mhindi kainunua simba
Napandisha uziKwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa kuhusu mzigo wake wa uwekezaji pale simba wa sh.bilioni 20.
Pili, utagundua tayari pale Simba ,Mo ana watu wake tayari aliowatengeneza ili wamsapoti katika kupiga danadana kulipa hizi hela.
Pia uteuzi wa huyu mwanadada, sina shaka na CV yake lakini inaonekana Mo kamweka pale kimkakati sana, kwa maslahi yake binafsi.NA INAONEKANA PIA SENZO ALIONDOKA PALE SIMBA SC KWA MAZINGIRA YALIYOTENGENEZWA ILI MO AWEKE MTU WAKE AMBAYE LAO NI MOJA.Kumbuka huyu mdada alikua msaidizi binafsi wa Mo.
Tunahitaji misingi,taratibu na sheria za uwekezaji wake pale Simba SC zizingatiwe.hatuhitaji hisani ya mtu.Hizo hela anatumia kulipa mishahara na gharama nyingine ziko ktk makubaliano gani.
AU ANATENGENEZA DENI ILI BAADAE ASEME ANAIDAI SIMBA.Hakuna mtu mwenye akili na anawaza vizuri atakubali kwamba kwasababu simba inaenda vizuri basi Mo aachwe tu.
Tusiwe watu wa akili nyepesi kwa mambo complex km haya. ILA SIJUI KWANINI WATZ WENGI TUMEKUWA WATU WA BORA LIENDE. Mambo ni mengi niishie hapa.
We NO akisema timu ni yake unaathirika nini?..Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa kuhusu mzigo wake wa uwekezaji pale simba wa sh.bilioni 20.