Kama mpaka Leo CHADEMA bado hawajajua Kubenea ana ajenda gani pale ufipa, basi CHADEMA wanapaswa kuonewa huruma tu.
Nb: kubenea alitamka hadharani anajua alipo Ben saanane, naona mpaka Leo....
Mtoa mada ni miongoni mwa wale vijana wanaokula 10000 deile....wanaopewa fungu kuandika uharo wa kurudisha juhudi za serikali nyuma na kutetea minyumbu