MH kula Masasi zaidi ya thelathini kumenifanya niache kuangalia movie za kivita na zile za mabunduki

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Nimeacha kuangalia uongo wa movie za kivita na za silaha za moto baada ya kutafakari kwa kina tukio la mwanadamu kupigwa masasi zaidi ya 30 na kuibuka na uhai.

nimegundua ni sahihi rambo kupigwa risasi na wavietnam maelfu bila kufa ila yeye akipiga moja tu wanakufa hata wanne.

Nimefundua jaki bawa wa kwenye series ya 24 hata apigweje hafi ila yeye akipiga ngumi au risasi moja tu adui anakufa.

wakuu nawashawishi tuhamie kuangalia movie za mapanga shaashaa na mapenzi kidogo hilo tukio limezivua nguo movie za mabunduki na masasi.

wazungu wa holiwudi na wahindi wa boliwudi wametuchezea kwa kipindi kirefu.
 
Nimeacha kuangalia uongo wa movie za kivita na za silaaha za moto baada ya kutafakari kwa kina tukio la mwandadamu kupigwa masasi zaidi ya 30 na kuibuka na uhai.

Mkuu kiswahili ulipata F[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa anaizungumzia hii wilaya ya huku kusuni kwetu.
mkuu kweli haiwezekani mtu kudunguliwa masasi zaidi ya 30 atoke mzima alafu niangalie movie jamaa anapiga risasi mojamoja watu wanakufa bila hata kugombania roho.
huo ujinga sifanyi mkuu.
Hilo tukio limenifumbua macho katika tasnia ya burudani ya movie,
 
Masasi ndo nini au eneo linaitwa masasi
kiswahili lugha pana mkuu. ila dhumuni ni kuelezea hisia zangu za kwa nini tukio hilo limenikata mudi ya kuangalia movi za kivita na mabundukibunduki.
 
Nimeacha kuangalia uongo wa movie za kivita na za silaaha za moto baada ya kutafakari kwa kina tukio la mwandadamu kupigwa masasi zaidi ya 30 na kuibuka na uhai.

nimegundua ni sahihi rambo kupigwa risasi na wavietnam maelfu bila kufa ila yeye akipiga moja tu wanakufa hata wanne.

Nimefundua jaki bawa wa kwenye series ya 24 hata apigweje hafi ila yeye akipiga ngumi au risasi moja tu adui anakufa.

wakuu nawashawishi tuhamie kuangalia movie za mapanga shaashaa na mapenzi kidogo hilo tukio limezivua nguo movie za mabunduki na masasi.

wazungu wa holiwudi na wahindi wa boliwudi wametuchezea kwa kipindi kirefu.
Masasi Sawa ila soma tena ulichokiandika 😀
 
Heading yako sijaielewa , talking about kupigwa risasi 30 usife it's very possible refer kesi ya Tundu lisu
 
Nimeacha kuangalia uongo wa movie za kivita na za silaaha za moto baada ya kutafakari kwa kina tukio la mwandadamu kupigwa masasi zaidi ya 30 na kuibuka na uhai.

nimegundua ni sahihi rambo kupigwa risasi na wavietnam maelfu bila kufa ila yeye akipiga moja tu wanakufa hata wanne.

Nimefundua jaki bawa wa kwenye series ya 24 hata apigweje hafi ila yeye akipiga ngumi au risasi moja tu adui anakufa.

wakuu nawashawishi tuhamie kuangalia movie za mapanga shaashaa na mapenzi kidogo hilo tukio limezivua nguo movie za mabunduki na masasi.

wazungu wa holiwudi na wahindi wa boliwudi wametuchezea kwa kipindi kirefu.
Hizo nlizipenda nlipokuwa mtoto ila sahiv nimeahamia kwa wakorea huko hunitoi yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahyo unataka kusema dereva wa daladala aliyepigwa risasi moja na the late ditopile ilikuwa ni movie ya rambo

tafakari alafu chukua hatua kujua ipi ni movie na ipi ni reality
 
Back
Top Bottom