matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nimeacha kuangalia uongo wa movie za kivita na za silaha za moto baada ya kutafakari kwa kina tukio la mwanadamu kupigwa masasi zaidi ya 30 na kuibuka na uhai.
nimegundua ni sahihi rambo kupigwa risasi na wavietnam maelfu bila kufa ila yeye akipiga moja tu wanakufa hata wanne.
Nimefundua jaki bawa wa kwenye series ya 24 hata apigweje hafi ila yeye akipiga ngumi au risasi moja tu adui anakufa.
wakuu nawashawishi tuhamie kuangalia movie za mapanga shaashaa na mapenzi kidogo hilo tukio limezivua nguo movie za mabunduki na masasi.
wazungu wa holiwudi na wahindi wa boliwudi wametuchezea kwa kipindi kirefu.