matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mkuu kiswahili ulipata F[emoji15]Nimeacha kuangalia uongo wa movie za kivita na za silaaha za moto baada ya kutafakari kwa kina tukio la mwandadamu kupigwa masasi zaidi ya 30 na kuibuka na uhai.
nimegundua ni sahihi rambo kupigwa risasi na wavietnam maelfu bila kufa ila yeye akipiga moja tu wanakufa hata wanne.
Nimefundua jaki bawa wa kwenye series ya 24 hata apigweje hafi ila yeye akipiga ngumi au risasi moja tu adui anakufa.
wakuu nawashawishi tuhamie kuangalia movie za mapanga shaashaa na mapenzi kidogo hilo tukio limezivua nguo movie za mabunduki na masasi.
wazungu wa holiwudi na wahindi wa boliwudi wametuchezea kwa kipindi kirefu.
hahaha
Itakuwa anaizungumzia hii wilaya ya huku kusuni kwetu.Masasi ndo nini au eneo linaitwa masasi
mkuu kweli haiwezekani mtu kudunguliwa masasi zaidi ya 30 atoke mzima alafu niangalie movie jamaa anapiga risasi mojamoja watu wanakufa bila hata kugombania roho.Itakuwa anaizungumzia hii wilaya ya huku kusuni kwetu.
kiswahili lugha pana mkuu. ila dhumuni ni kuelezea hisia zangu za kwa nini tukio hilo limenikata mudi ya kuangalia movi za kivita na mabundukibunduki.Masasi ndo nini au eneo linaitwa masasi
Masasi Sawa ila soma tena ulichokiandika 😀Nimeacha kuangalia uongo wa movie za kivita na za silaaha za moto baada ya kutafakari kwa kina tukio la mwandadamu kupigwa masasi zaidi ya 30 na kuibuka na uhai.
nimegundua ni sahihi rambo kupigwa risasi na wavietnam maelfu bila kufa ila yeye akipiga moja tu wanakufa hata wanne.
Nimefundua jaki bawa wa kwenye series ya 24 hata apigweje hafi ila yeye akipiga ngumi au risasi moja tu adui anakufa.
wakuu nawashawishi tuhamie kuangalia movie za mapanga shaashaa na mapenzi kidogo hilo tukio limezivua nguo movie za mabunduki na masasi.
wazungu wa holiwudi na wahindi wa boliwudi wametuchezea kwa kipindi kirefu.
Hizo nlizipenda nlipokuwa mtoto ila sahiv nimeahamia kwa wakorea huko hunitoi yaaniNimeacha kuangalia uongo wa movie za kivita na za silaaha za moto baada ya kutafakari kwa kina tukio la mwandadamu kupigwa masasi zaidi ya 30 na kuibuka na uhai.
nimegundua ni sahihi rambo kupigwa risasi na wavietnam maelfu bila kufa ila yeye akipiga moja tu wanakufa hata wanne.
Nimefundua jaki bawa wa kwenye series ya 24 hata apigweje hafi ila yeye akipiga ngumi au risasi moja tu adui anakufa.
wakuu nawashawishi tuhamie kuangalia movie za mapanga shaashaa na mapenzi kidogo hilo tukio limezivua nguo movie za mabunduki na masasi.
wazungu wa holiwudi na wahindi wa boliwudi wametuchezea kwa kipindi kirefu.
Hakupigwa risasi zaidi ya 30. Huo ni uongo wa mchana kweupeee.Nimeacha kuangalia uongo wa movie za kivita na za silaaha za moto baada ya kutafakari kwa kina tukio la mwandadamu kupigwa masasi zaidi ya 30 na kuibuka na uhai....