Bwakila anaanza ..... Mjomba Mjomba
Mjomba...Naam Bwakila
Bwakila ...nimewatangazia mawakili wote mgomo wa siku mbili
Mjomba ..... Bwakila una akili kweli?
Bwakila ... Kwanini Mjomba?
Mjomba ..Je wajua gharama za kesi wanazosimamia mawakili?
Bwakila.. Mjomba kwani mimi inanihusu?
Hahahahahahaha!!!
Basi ujue hakuna wakili msomi wa kufuata maagizo ya mtu aliyechanganyikiwa
Endeleza ...