Mh. Lissu afananishwa na Bwakila

Mh. Lissu afananishwa na Bwakila

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Bwakila anaanza ..... Mjomba Mjomba
Mjomba...Naam Bwakila
Bwakila ...nimewatangazia mawakili wote mgomo wa siku mbili
Mjomba ..... Bwakila una akili kweli?
Bwakila ... Kwanini Mjomba?
Mjomba ..Je wajua gharama za kesi wanazosimamia mawakili?
Bwakila.. Mjomba kwani mimi inanihusu?

Hahahahahahaha!!!

Basi ujue hakuna wakili msomi wa kufuata maagizo ya mtu aliyechanganyikiwa



Endeleza ...
 
Wewe ndio BWAKILA maana unapiga kelele hapa JF kwa kujificha wenzio wanasema vitu live.
 
Hahahahaha...unawapatia sana aise..🙂🙂😉😉
 
Dalili za kukosa hoja ndio hizo...
Pale Lumumba hamna wakufanana na TL...
Huwa najiuliza hv polepole ndio mwanasheria wa ccm!!??
CCM haina mwanasheria ndio maana hata viongoz wake wakivunja sheria huwez kisikia wametoa tamko kukemea
 
Back
Top Bottom