Mh Lissu kushambuliwa: Celebrities wa Kitanzania wanasemaje?

Mh Lissu kushambuliwa: Celebrities wa Kitanzania wanasemaje?

Ndugu yangu hapa Bongo watu wengi ni wahoga sana na ni wanafiki.wanaogopa kutoa maoni yao juu ya Lisu.
Kama akina mengi sijona maoni yao.hata lowasa sijaona maoni yake labda kama sijafuatilia.sijui ndo wako kwenye mapambano yakiuchumi ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom