Mh. Lwakibarila umejitathmini vipi weledi wako baada ya Ushindi wa Lema?

Mh. Lwakibarila umejitathmini vipi weledi wako baada ya Ushindi wa Lema?

Whisper

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
502
Reaction score
207
Kwa kawaida huwa kuna makosa madogo ya liufundi ambaye anapelekea hakim au Jaji kuhukumu vinginevyo shauri lililo mbele yake. Lakini kwa hukumu hii ya Godbless Lema nalazimika kumuuliza huyu mheshimiwa amejitathmini vipi? Kubwa zaidi ni jinsi gani mashariki ilivyo mbali na magharibi ambavyo ni sawa na hukumu ya Jaji Lwakibarila aliyoitoa Arusha ilivyo mbali na matokeo ya rafaa ya Lema. Hii ni aibu nyingine ya mwaka katika mahakama kuu. Kweli kuchelewa kufa ni kuona mengi. Ni wakati muafaka kwa mapilato wengine kujitunzia heshima ya uweledi wao badala ya kuendeshwa kwa amri za watu wengine and nguvu nyingine. Mh. Lissu, bado uko sahihi juu ya uteuzi wa hawa waheshimiwa, wengi wao wanaendesha kesi kwa maslahi ya aliyewateua.
 
Tutajuaje kama siyo majaji wa voda fasta walioteuliwa na Dk Misifa son of Dhaifu bin Kitwitwi? Kama Rwakibalira alikosea kama binadamu basi tumsamehe. Lakini kama ametumiwa tumuombe Mungu ampe adhabu anayostahili. Uvumi uliopo ni kwamba ameparalyze. Tumuombee apone kama alikosea. Kama alitumiwa tuombe aumie zaidi ila asife bali ateseke.
 
Back
Top Bottom