Mwenzenu jana nimepita Leo Tupo Hapa Pub nikamkuta binti Kaundime kitumbo hicho kimetokekelezea. Mkononi ameshika embe bichi ananimegea.
Nilipomuuliza mwenzetu vipi, tena mambo haya,mhusika ni nani?
"Hayakuhusu mwanaume..... Utakuja kusutwa bure...!!!"
Kaundime Alinijibu kwa hamaki.
Nilijikuta nikipiga kimya na hata sikukaa nikajiondoke zangu, nikaona imeshakuwa nuksi...
Hivi yawezekana ikawa ni ile ONE NIGHT STAND ya siku zile au mhusika atakuwa ni mtu mwingine..?
Mh, watu wa R-CHUGA wana damu kali ka nini..
hebu miye nisije nikasutwa kwa kushadadia mambo ya watu.........
Copy to Erickb52, Mzee wa Rula, Arushaone, LiverpoolFC, Mr Rocky, Filipo, Preta, marejesho, Bujibuji, madameB, Paloma, Kaizer, Ruttashobolwa, sososliso, Baba V, gfsonwin, cacico, KOKUTONA, Arabela, mwaJ
Kuna file moja "CLASSIFIED" nimelisoma kwa bahati mbaya, ila kwa kifupi ni rahisi mara mia kwa Al shabaa kuikana ishu ya westgate kuliko Bishanga kukwepa responsibility kwenye ishu ya Kaundime.
Kha mimba ya Paloma atupiwe bishanga? Toka lini fimbo ya mbali ikaua nyoka?
Kuna file moja "CLASSIFIED" nimelisoma kwa bahati mbaya, ila kwa kifupi ni rahisi mara mia kwa Al shabaa kuikana ishu ya westgate kuliko Bishanga kukwepa responsibility kwenye ishu ya Kaundime.
Mwenzenu jana nimepita Leo Tupo Hapa Pub nikamkuta binti Kaundime kitumbo hicho kimetokekelezea. Mkononi ameshika embe bichi ananimegea.
Nilipomuuliza mwenzetu vipi, tena mambo haya,mhusika ni nani?
"Hayakuhusu mwanaume..... Utakuja kusutwa bure...!!!"
Kaundime Alinijibu kwa hamaki.
Nilijikuta nikipiga kimya na hata sikukaa nikajiondoke zangu, nikaona imeshakuwa nuksi...
Hivi yawezekana ikawa ni ile ONE NIGHT STAND ya siku zile au mhusika atakuwa ni mtu mwingine..?
Mh, watu wa R-CHUGA wana damu kali ka nini..
hebu miye nisije nikasutwa kwa kushadadia mambo ya watu.........
Copy to Erickb52, Mzee wa Rula, Arushaone, LiverpoolFC, Mr Rocky, Filipo, Preta, marejesho, Bujibuji madameB, Paloma, Kaizer, Ruttashobolwa, sosoliso, Baba V, gfsonwin, cacico, KOKUTONA, Arabela, mwaJ
Mimba za kukomoana kwani zinachelewaga kujichomoza?Mtambuzi kwani yule muarusha LiverpoolFC si alimega juzi juzi tuu. Mara hii mi,ba ya kujifungua?
Auuu????????