Mh! Makubwa haya, Kaundime ni mjamzito....!

Mtambuzi kwani yule muarusha LiverpoolFC si alimega juzi juzi tuu. Mara hii mi,ba ya kujifungua?

Auuu????????

Ukiona hivyo ujue LiverpoolFC alikuwa na ukame wa siku nyingi kwa hiyo vitoto vilikuwa vimeshaanza kudevelope preliminary stages kiunoni mwake kwa hiyo vikiingia tumboni mwa mama vinahitaji miezi mitatu tu ya ku finalize process.
Source: Biology paper 1 Form III C.
 
Last edited by a moderator:

mhhh hii kali aisee.........kwa hiyo mimba ni miezi mitatu tu kaundime anashusha.............hahahhaaa
 
Mimba za kukomoana kwani zinachelewaga kujichomoza?
Zinavimbelembele sana, kama mpambe wa mbunge

Ha ha ha aaaaaa sasa huyu MUARUSHA aliamua kumkomoa KAUNDIME?

Ngoja tuijaze nchi!
 

Ha ha ha haaaaa gfsonwin njoo huku uone watu wanachakachua BIOLOGY
 
heee jamani vijimambo tena
nadhani ushaanza kurukwa na akili bora tukupeleke milembe mapema
kabla ya hatari
 
yaani sosoliso unataka nimwage kuku kwenye mchele mwingi......umelala dolo wewe shauri lako unaishia kushika pembe!
sos Paloma mwenyewe

Yaani wewe mie ninagombana na jamaa yangu chama kwa ajili ya ushkaji wetu kumbe wanipiga kisu cha mgongo..? Na uache kumkoti waifu wangu Paloma kwa vitu vya kutunga.. Kwanza juzi umeonekana unavuka boda fasta Namanga huku ukiwa na kilemba kama cha marehemu Arafat..
 
Last edited by a moderator:
yaani sosoliso unataka nimwage kuku kwenye mchele mwingi......umelala dolo wewe shauri lako unaishia kushika pembe!
sos Paloma mwenyewe

Hiyo sos siyo yangu kabisa! Kamtafute mwenye nayo! Babu mzima wivu umekujaa...? Enzi zako ulikuwa wapi?! Alaaah! Embu niache mie nimimbike!!!
 
Last edited by a moderator:
sosoliso
Haaaaa haaa unaona sasa yamemekuta?? ushikaji na Bishanga ni sawa kufanya ushikaji na maiti itakuozea tu! jamaa unampa promo ya nguvu ili anivunjie nyumba yangu na Mamndenyi lakini hakuthamini hata kidogo! shauri yako jiulize kwa nini haishi kukimbiwa na wake shauri yako mjini hapa!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi utasutwa kwelii! ohooooooo!
 
Last edited by a moderator:


Kha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaa!
Baba V hakiamama nakwambia na hiyo akijaribu kung'atua nakwambia anaenda nayo ahera!

Cjui kama nambari yake ninayo........ngoja nimseach hewani.

Ntarudi........!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…