Tetesi: Mh mkuu wa JKT,45 wa JKT ni wizi mtupu,wameachwa wenye vigezo

Tetesi: Mh mkuu wa JKT,45 wa JKT ni wizi mtupu,wameachwa wenye vigezo

Nimesoma comment zote hapa Jukwaani nimeishia kucheka tu!

Pole sana Mr. Justine kwa kuachwa..

Tambua kuwa JKT wamekuacha ila Mungu hajakuacha..... Kuna Maisha nje ya JKT...


Kubali kuwa waombaji ni wengi.. Kila mmoja ana nafasi sawa ya kuchaguliwa. Kuchaguliwa ama kutochaguliwa hayo ni matokeo.

Huna budi ya kupaniki.. Huna budi ya kukata tamaa na kufikiri maisha yamefika mwisho... Bado nafasi zipo nyingi nje ya JKT.


Pole sana!h
hii ndio comment bora kwangu kwa leo

unastahili kuitwa mzee
 
Back
Top Bottom