MH. Msukuma ongeza juhudi bunge hili liruhusu ile kitu.

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
9,758
Reaction score
18,431
"wapo hata waheshimiwa wanaotumia humu ndani..." Msukuma


Nimeanza na nukuu, sina salamu zaidi ya Aluuta!! [emoji1535]

Mh. Msukuma tafadhali ongeza juhudi angala tupate turuhusa twa kujilipua na kukuza uchumi kwa namna nyingine.

Waambie wazee kuwa hii kitu haina madhara hayo wanayoyawaza. Wakumbushe kuwa pombe zinawafanya watu wanajipupia na kujikojolea ila hii kitu haina hayo mambo.

Wakumbushe ni free of cancer tofauti na ile mizigo ya pale ttc inayotuongezea gharama kubwa za matibabu.

Usisahau kuwaambia kuwa rizla+ ni bidhaa halali inayokosa matumizi kwa sasa Tz. Kama inavyoonekana pichani


Mimi ni hayo tu Mheshimiwa.

Mtu mmoja apaze sauti kumkumbusha Mh. Msukuma.

Aluuta!! [emoji1535]
 
Legalise it...Peter Tosh
 
Hivi hii kitu hajahalalishwa tu watu mnajiita washenzi na vichaa, ikihalalishwa mtaacha kuvaa suruali.
 
Utam wa ile kitu itumie kwa siri ikihalalishwa haitakuw na ladha tena
 
Ni mtazamo tu, mbona Wahadzabe wanatumia lakini ushasikia wamefanya uhalifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…