kwani treni linatembea juu ya mchanga?
Anamaanisha Treni zilipopita ni reli zilipoishia toka mkoloni azijenge, treni kupeleka mbagala , mbezi hizo reli zipo wapi?Mhu, makbwa kumbe akina Mulugo wapo kila kona! Kwani hapo kwenye RED kunaingiaje tena humu? Haya hongera ndugu yangu kwa kutia moyo huyo jembe letu.
kwani rais ajaye unajua anatoka chama gani?! kwani una uhakika atakuwa hicho chama alichopo mpaka 2015?!Hata kwa kutumia hizo za wakoloni, Mwakyembe ameonesha kwamba ni Mzalendo wa kweli. Tukimuunga mkono, anaweza kufanya mambo makubwa...Sema 2015 ndo hiyo inakaribia na huwenda Rais ajeye asimpe Uwaziri tena!
Kuna umuhimu wa kuwa na mabehewa ya kupitia reli ya kati tokea Pugu,Gongo la Mboto,Banana,Vingunguti kuja buguruni hadi town kwa watu wa Mbezi (zote kimara na kule beach hadi tegeta ) pamoja na Mbagala wanahitaji mradi wa DART tukifanya hivyo nadhani karibu sehemu zote korofi za mji wa Dar zitakuwa zimefikiwa na huduma ya usafiri wa haraka
kwani rais ajaye unajua anatoka chama gani?! kwani una uhakika atakuwa hicho chama alichopo mpaka 2015?!