Mh, MWAKYEMBE BIASHARA IMELIPA SASA PANUA WIGO.

Mh, MWAKYEMBE BIASHARA IMELIPA SASA PANUA WIGO.

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
Hakika hakina ubishi kuwa mafanikio ya jitihada zako yameonekana dhahili, sasa kwa kuwa wakesha hoi wako wamekupokea kwa muonekano mpana tunaomba uongeze treni nyingine ili kukidhi mahitaji ya wateja wako. Najua kwa kushilikiana na vijana wako utaweza.
 
kwani treni linatembea juu ya mchanga?

Mhu, makbwa kumbe akina Mulugo wapo kila kona! Kwani hapo kwenye RED kunaingiaje tena humu? Haya hongera ndugu yangu kwa kutia moyo huyo jembe letu.
 
Mhu, makbwa kumbe akina Mulugo wapo kila kona! Kwani hapo kwenye RED kunaingiaje tena humu? Haya hongera ndugu yangu kwa kutia moyo huyo jembe letu.
Anamaanisha Treni zilipopita ni reli zilipoishia toka mkoloni azijenge, treni kupeleka mbagala , mbezi hizo reli zipo wapi?
 
Hata kwa kutumia hizo za wakoloni, Mwakyembe ameonesha kwamba ni Mzalendo wa kweli. Tukimuunga mkono, anaweza kufanya mambo makubwa...Sema 2015 ndo hiyo inakaribia na huwenda Rais ajeye asimpe Uwaziri tena!
 
kwani rais ajaye unajua anatoka chama gani?! kwani una uhakika atakuwa hicho chama alichopo mpaka 2015?!
 
Wala sijui anatoka chama gani ndo maana nimesema "huenda...." Yawezekana hata Mwakyembe yeye akawa rais maana yote yanawezekana. Au wewe unajua lolote kuhusu rais ajaye?
 
Kuna umuhimu wa kuwa na mabehewa ya kupitia reli ya kati tokea Pugu,Gongo la Mboto,Banana,Vingunguti kuja buguruni hadi town kwa watu wa Mbezi (zote kimara na kule beach hadi tegeta ) pamoja na Mbagala wanahitaji mradi wa DART tukifanya hivyo nadhani karibu sehemu zote korofi za mji wa Dar zitakuwa zimefikiwa na huduma ya usafiri wa haraka
 
Ingekuwa vipi kama Makontena yote yanayotoka bandarini yangekuwa yanapakiwa kwenye treni hadi mitaa ya kati nje ya mji kidogo kama Pugu au Kiwangwa n.k ambapo ma ICD yangewekwa huko halafu malori yanapakia huko huko na kuanza safari za mikoani.

Kenya wanajenga reli kuelekea Aiport pale Nairobi kwa ajili ya usafiri kama wa Mwakyembe huu.
 
Kuna umuhimu wa kuwa na mabehewa ya kupitia reli ya kati tokea Pugu,Gongo la Mboto,Banana,Vingunguti kuja buguruni hadi town kwa watu wa Mbezi (zote kimara na kule beach hadi tegeta ) pamoja na Mbagala wanahitaji mradi wa DART tukifanya hivyo nadhani karibu sehemu zote korofi za mji wa Dar zitakuwa zimefikiwa na huduma ya usafiri wa haraka

Wewe kweli ni GT, sikuwahi kufikiria hivyo aisee! Kwa staili hiyo msongamano unaweza kuwa historia.
 
Kinaweza kuwa chama tofauti na kikampa uwaziri kama anaonekana kujua afanyalo. Issue yetu ni kutatua matatizo ya msingi, haijalishi rangi ya nguo zako.
kwani rais ajaye unajua anatoka chama gani?! kwani una uhakika atakuwa hicho chama alichopo mpaka 2015?!
 
Back
Top Bottom