Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Dec 17, 2018 #1 Mheshimiwa Mwakyembe amesema uchaguzi wa Yanga uko pale pale na utasimamiwa na TFF mwanzo mwisho. Chanzo:Gazeti la Mwananchi.
Mheshimiwa Mwakyembe amesema uchaguzi wa Yanga uko pale pale na utasimamiwa na TFF mwanzo mwisho. Chanzo:Gazeti la Mwananchi.
Jawai JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 530 Reaction score 407 Dec 17, 2018 #2 Wangesimamia na katiba za vyama vya siasa Cuf kungekuwa shwari saa hizi. Viol said: Mheshimiwa Mwakyembe amesema uchaguzi wa Yanga uko pale pale na utasimamiwa na TFF mwanzo mwisho. Chanzo:Gazeti la Mwananchi. Click to expand...
Wangesimamia na katiba za vyama vya siasa Cuf kungekuwa shwari saa hizi. Viol said: Mheshimiwa Mwakyembe amesema uchaguzi wa Yanga uko pale pale na utasimamiwa na TFF mwanzo mwisho. Chanzo:Gazeti la Mwananchi. Click to expand...
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Dec 18, 2018 #3 Ngoja tuone mwisho wake siku ya uchaguzi nn kitatokea maana huku Kwenye matawi kuna lugha gongana
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Dec 18, 2018 Thread starter #4 Ndumbula Ndema said: Ngoja tuone mwisho wake siku ya uchaguzi nn kitatokea maana huku Kwenye matawi kuna lugha gongana Click to expand... Uchaguzi ni tar 13 january
Ndumbula Ndema said: Ngoja tuone mwisho wake siku ya uchaguzi nn kitatokea maana huku Kwenye matawi kuna lugha gongana Click to expand... Uchaguzi ni tar 13 january
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Dec 18, 2018 #5 Viol said: Uchaguzi ni tar 13 january Click to expand... Yeah ngoja tuone mwisho wake
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Dec 18, 2018 #6 Vichaa lazima wasimamiwe hawana uwezo wa kufanya uchaguzi wenyewe.
K kastro JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 1,011 Reaction score 629 Dec 18, 2018 #7 Naona polepole yale mambo ya Raizon na kandambili yanarudi