Mh.Mwakyembe:Uchaguzi wa Yanga uko pale pale

Mh.Mwakyembe:Uchaguzi wa Yanga uko pale pale

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Mheshimiwa Mwakyembe amesema uchaguzi wa Yanga uko pale pale na utasimamiwa na TFF mwanzo mwisho.

Chanzo:Gazeti la Mwananchi.
 
Wangesimamia na katiba za vyama vya siasa Cuf kungekuwa shwari saa hizi.
Mheshimiwa Mwakyembe amesema uchaguzi wa Yanga uko pale pale na utasimamiwa na TFF mwanzo mwisho.

Chanzo:Gazeti la Mwananchi.
 
Ngoja tuone mwisho wake siku ya uchaguzi nn kitatokea maana huku Kwenye matawi kuna lugha gongana
 
Vichaa lazima wasimamiwe hawana uwezo wa kufanya uchaguzi wenyewe.
 
Naona polepole yale mambo ya Raizon na kandambili yanarudi
 
Back
Top Bottom