Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
N jambo la kusikitisha sana sana
2017
Serikali ilikuja ikafanya uchambuzi wake wakitarajia kuchukua eneo la kipungun kwa utanuzi wa airport
Watu wakasimamishwa kuendelea kujenga
Wakasimamishwa kuendelea kupangisha
Hakuna kilichotokea wala watu kulipwa hela waondoke
2022
Serikali ile ile ikaja tena inataka kutanua uwanja wa ndege
Wananchi wakahimizwa wawepo majumbani wakaitikia witooo
Wakafanya evaluation zao na kila eneo kiasi gan unapewa
Wakapokea makaratasi wakasain ktkt kusaini kuna masharti ya kutoendeleza eneo lako na kutopangisha
Wale waliopangishwa walipojua kimesanuka wakaondoka kabisa
2023
Wananchi wakaomba dokdzo wanalipwa lini wakambiwa Nov
Jan 2024 hiooo wakaomba dokezo wanalipwa lini wakaambiwa kuanzia Apr 2024
Leoo n Sept 2024 mh Mwigulu kaka yetu embu vaeni viatu kama mnakaa kipungun kweli watu wanashsindwa kulipa ada za watoto
Watu wanaogopa hata kupanga trna waksiambiwa pana vunjwa
Msaada wako mh
Lini tunalipwa hizo hela tuanzee hatujazaliwa airports........
Na kama hamna mpango wa kutanua uwanja tena tupeni go ahead tujenge na wananchi waruhusiwe kupanga
Raha ya mileles utupe ee Bwana
Mwanga.......
Mh Bonna Dadayetu wajuze Mungu analipa duniani
Wakumbushe kuna msrehemu mmewasainisha makaratasi walikuwa wanaumwa wanategemea pesa za kodi leo hawapo....mjue kisa kukosa hela
Haya
Napitatuu