Mh. Mwigulu kuzungumza na kocha wa yanga ili asionsoke yanga badala ya waziri wa michezo...

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
735
Wadau hii imekaaje kwa sababu nilitegemea waziri wa michezo ndio ajaribu kufanya huu usuluhishi katika masuala ya michezo...

Sasa tofauti na hivyo namuona waziri wa mambo ya ndani mh. Mwigulu nchemba akiongea na kocha wa yanga ili asiondoke jangwani na nimpongeze amefanikiwa kumfanya kocha huyo asiondoke..

Sasa je waziri nchemba ameingia kisuluhisha huu mgogoro kama mshabiki na mwanachama wa yanga au kama waziri?? na je ikiwa ameingia kama mwanachama, waziri husika hakuuona huu mgogoro hadi mwanachama afikie hatua kubwa kama hii ya kusuluhisha? Na kama mh. Mwigulu alienda kama waziri vipi kuhusu mwingiliano wa madaraka.

Ushauri: waziri nape jitahidi tuone jitihada zako katika masuala kama haya tusiishie kukuona ukivifungia vyombo vya habari na kuzifungia timu kucheza wanja wa taifa. Kwani hawa wachezaji wa vilabu wakifundishwa na wakafanya vizuri tutaitangaza nchi yetu kimataifa pia hawa wachezaji ndio watakao cheza timu ya taifa na kulifanya taifa letu kusonga mbele kwa kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa..
 
Mwigulu hakuongea ama kuingilia issue ya Yanga akiwa kama Waziri (mwakilishi wa serikali) ila alikuwa kama Mwigulu na mpenzi wa Yanga.

Tuna kazi kubwa sana ya kuwa tunalinganisha/ tofautisha hizi protocol za hawa viongozi, kilichonukuliwa hapa ni celebrity ya Mwigulu na kuchanganywa na uwaziri wake, ili hali jamaa ameingilia pale kama yeye na si kama waziri.
Nape ni waziri wa habari, Michezo, utamaduni na wasanii, hivyo ana haki ya kufungia vyombo vya habari iwapo taratibu zinamruhusu. Na issue ya Yanga ni suala la ndani ya club hivyo Nape hatakiwi kulaumiwa kwa kutochukua hatua yoyote, na ndio maana nimesema Mwiguli kaingilia kama mwanayanga na si kama waziri.
 
Tatizo ni nini? Mwigulu ni mwanachama wa Yanga, ina maana angekuwa Mzee Akilimali ndiye aliyesuluhisha huu mtanziko mngehoji pia?
 
  • Thanks
Reactions: bdo

Shida sana, watu wanashindwa kutofautisha haya mambo, hivi ingekuwa wewe babatovu pia wangesema?
 
Mwigulu hakuongea ama kuingilia issue ya Yanga akiwa kama Waziri (mwakilishi wa serikali) ila alikuwa kama Mwigulu na mpenzi wa Yanga.

Tuna kazi kubwa sana ya kuwa tunalinganisha/ tofautisha hizi protocol za hawa viongozi, kilichonukuliwa hapa ni celebrity ya Mwigulu na kuchanganywa na uwaziri wake, ili hali jamaa ameingilia pale kama yeye na si kama waziri.
Nape ni waziri wa habari, Michezo, utamaduni na wasanii, hivyo ana haki ya kufungia vyombo vya habari iwapo taratibu zinamruhusu. Na issue ya Yanga ni suala la ndani ya club hivyo Nape hatakiwi kulaumiwa kwa kutochukua hatua yoyote, na ndio maana nimesema Mwiguli kaingilia kama mwanayanga na si kama waziri.
Mkuu ni sawa mh. Nchemba kaingia kama mwanachama lakini katika mtazamo wa nje anaonekana kama ni waziri, kuna baadhi ya masuala inakuwa ni vigumu kutenganisha wadhifa wa kiongozi na anachokifanya hata namna taarifa zinavyoripotiwa ni kuwa waziri wa mambo ya ndani amesuluhisha mgogoro wa kocha wa yanga.... Mimi sina tatizo na mwigulu kafanya vizuri sana na nampongeza kwa hilo kwa uzalendo alouonyesha... Lakini katika masuala kama haya ni vizuri hata viongoz hasa kwenye wizara husika kuchukua hatua mapema mh. Nape angeweza kuingia kama rafiki na ku intervene the situation kama alivyofanya mwigulu na yeye alitakiwa kuwa wa kwanza then wengine wafuate tunahitaji viongozi wabunifu kwani kuna baadhi ya masuala ni ya kitaifa zaidi kuliko uanachama...
 
Wangesema usuhishi u.eongozwa na mwiligulu mchemba na SIYO waziri wa.mabo ya ndani
 
Mkuu ni sawa mh. Nchemba kaingia kama mwanachama lakini katika mtazamo wa nje anaonekana kama ni waziri, kuna baadhi ya masuala inakuwa ni vigumu kutenganisha wadhifa wa kiongozi na anachokifanya hata namna taarifa zinavyoripotiwa ni kuwa waziri wa mambo ya ndani amesuluhisha mgogoro wa kocha wa yanga.... Mimi sina tatizo na mwigulu kafanya vizuri sana na nampongeza kwa hilo kwa uzalendo alouonyesha... Lakini katika masuala kama haya ni vizuri hata viongoz hasa kwenye wizara husika kuchukua hatua mapema mh. Nape angeweza kuingia kama rafiki na ku intervene the situation kama alivyofanya mwigulu na yeye alitakiwa kuwa wa kwanza then wengine wafuate tunahitaji viongozi wabunifu kwani kuna baadhi ya masuala ni ya kitaifa zaidi kuliko uanachama...
Mkuu nakubaliana na wewe kuhusu intervention ya Mwigulu kuwa amelifanya kama mpenzi wa Yanga ila si waziri, kasoro ipo kwa watoa taarifa.

Lakini kwa suala la Nape (kama waziri husika wa michezo) kutoingilia kati, bado naona hakustahili kuingilia hili suala mapema hivi, kwanza lina sura mkataba, ajira nk - lilikuwa katika ngazi ya ndani ya club, ila iwapo lingekuja katika sura ya kitaifa, mfano; wanachama kuandamana, kutishia hali ya usalama wa wanachama na wananchi wengine nadhani Nape angeingilia kama Waziri husika, angalia issue ya ubinafshaji/ ukodishwaji na umiliki wa hivi vilabu - serikali imeingilia kwa sababu maslahi ya wanachama, kwa maana ingeweza kuleta shida huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom