kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Wadau hii imekaaje kwa sababu nilitegemea waziri wa michezo ndio ajaribu kufanya huu usuluhishi katika masuala ya michezo...
Sasa tofauti na hivyo namuona waziri wa mambo ya ndani mh. Mwigulu nchemba akiongea na kocha wa yanga ili asiondoke jangwani na nimpongeze amefanikiwa kumfanya kocha huyo asiondoke..
Sasa je waziri nchemba ameingia kisuluhisha huu mgogoro kama mshabiki na mwanachama wa yanga au kama waziri?? na je ikiwa ameingia kama mwanachama, waziri husika hakuuona huu mgogoro hadi mwanachama afikie hatua kubwa kama hii ya kusuluhisha? Na kama mh. Mwigulu alienda kama waziri vipi kuhusu mwingiliano wa madaraka.
Ushauri: waziri nape jitahidi tuone jitihada zako katika masuala kama haya tusiishie kukuona ukivifungia vyombo vya habari na kuzifungia timu kucheza wanja wa taifa. Kwani hawa wachezaji wa vilabu wakifundishwa na wakafanya vizuri tutaitangaza nchi yetu kimataifa pia hawa wachezaji ndio watakao cheza timu ya taifa na kulifanya taifa letu kusonga mbele kwa kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa..