Mh. Nape anatetea makampuni ya simu kuliko wananchi kwanini?

Mh. Nape anatetea makampuni ya simu kuliko wananchi kwanini?

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
📌 Kuna sakata la bando.. kampuni za simu zinaweka limit jambo ambalo ni wizi kiukweli.

📌 hela ni yako na matumizi wanakupangia... kwanini kuna expire ya bando kama sio wizi mtupu.
Bando linaishaje wakati ujatumia mbona vocha haishi mara tu unapoinunua? Na vocha expire yake ni mwaka.
 
[emoji419] Kuna sakata la bando.. kampuni za simu zinaweka limit jambo ambalo ni wizi kiukweli.

[emoji419] hela ni yako na matumizi wanakupangia... kwanini kuna expire ya bando kama sio wizi mtupu.
Bado linaishaje wakati ujatumia mbona vocha haishi mara tu unapoinunua? Na vocha expire yake ni mwaka.
Tutashindwaje kuamini anafaidika binafsi na utaratibu huo?
 
Vyote vinawezekana: labda, (nasema labda, hypothetical possibility na siyo kuwa wamemwekea) wamemwekea bilioni Moja Kwenye akaunti!
 
Back
Top Bottom