Amlodipine500
Senior Member
- Jun 24, 2024
- 109
- 175
Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa kumbe wanasuburi vijana wachanganyikiwe ndio waajiri wasiokuwa na akili timamu