Amlodipine500
Senior Member
- Jun 24, 2024
- 109
- 175
Hiyo ni motisha kwa wale ambao hawataki kwenda kupata matibabu pamoja na ushauri nasahaMajobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa kumbe wanasuburi vijana wachanganyikiwe ndio waajiri wasiokuwa na akili timamu
Nashauri vijana wapige madawa then wapone wapewe ajira na serikali pendwa ya ccmMajobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa kumbe wanasuburi vijana wachanganyikiwe ndio waajiri wasiokuwa na akili timamu
Imagine ded ni teja.Nashauri vijana wapige madawa then wapone wapewe ajira na serikali pendwa ya ccm