Ha ha ha ha. Vijana wa CCM majanga.NAONA SIKU HIZI WAKUU WA WILAYA ZA DAR WANAJIANZISHIA NYUZI WENYEWE HAJAHAHA KULE HAPI KAANZISHA ZAKE NA WEWE POLEPOLE UNA ZAKO HUKU
Kuna mambo ukiyashabikia unaweza kuoekana mwehu sasa ndio kama weweHivi muanzisha thread, unahisi MAGUFULI atafanyia kazi jungu lako dhidi ya RC MAKONDA?
Mission anayofanya makonda ni maalum kuliweka jiji katika hali ya usmart.
Jiji kwa miaka mingi limekua la mpangilio wa hovyo, omba omba wenye uwezo wa kufanya kazi, biashara holela kwenye mabarabara kiasi hata kuleta kero kwa watumiaji wa barabara, vibaka mwanzo mwisho.
Sasa ni Muda wa jiji kupangika kistarabu.
Siasa uchwra na majungu hayana nafasi tena kwa MAGUFULI ni PERFORMANCE tu.
Pia kumsakama makonda ni kumpandisha rank, kwani mkulu yupo ana watch jinsi dose inavyowaingia
Tatizo letu tunataka kila mtu afurahishwe na utendaji wake , Hilo ni jambo lisilo wezekana, lazima kuna baadhi watapinga kwa sababu zao binafsi, utumishi uliotukuka unaanza kuonekana sasa!Makonda shida yake Kubwa ni kulewa Sifa ni Dhahiri sasa hafai kuwa Mkuu wa Mkoa Raisi mwondoshe mapema kuepusha Aibu
why are you talking in parables?Kuna aliyesemaga huyo kondakta Ni chakula,sijui Kuna ukweli
mwambie tu aondoe wapiga debe pale ubungo wanakera kama nini!Hivi muanzisha thread, unahisi MAGUFULI atafanyia kazi jungu lako dhidi ya RC MAKONDA?
Mission anayofanya makonda ni maalum kuliweka jiji katika hali ya usmart.
Jiji kwa miaka mingi limekua la mpangilio wa hovyo, omba omba wenye uwezo wa kufanya kazi, biashara holela kwenye mabarabara kiasi hata kuleta kero kwa watumiaji wa barabara, vibaka mwanzo mwisho.
Sasa ni Muda wa jiji kupangika kistarabu.
Siasa uchwra na majungu hayana nafasi tena kwa MAGUFULI ni PERFORMANCE tu.
Pia kumsakama makonda ni kumpandisha rank, kwani mkulu yupo ana watch jinsi dose inavyowaingia
Ishara za nyakati zinaonyesha Mzee Polepole kupewa jiji.Makonda out.
kuna picha kule jamii photos inaonesha yupo na bwabwa, inawezekana akawa mdau.Kuna aliyesemaga huyo kondakta Ni chakula,sijui Kuna ukweli
Sio nimwambie, tumwambie sote. Acha unywanywa, sentence gani hiyo mjomba nawe unahisi hilo ni tatizo?,mwambie tu aondoe wapiga debe pale ubungo wanakera kama nini!
inawezekana nawe ni mpiga debe ndio maana unaona si tatizo kwako ni ajira yakoSio nimwambie, tumwambie sote. Acha unywanywa, sentence gani hiyo mjomba nawe unahisi hilo ni tatizo?,
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo nikianza mimi kumwambia ndo utaamini mimi si mpiga debe sio.inawezekana nawe ni mpiga debe ndio maana unaona si tatizo kwako ni ajira yako
Makonda, Hapi na Polepole wote ni wa kufuta kazi mara mojaNAONA SIKU HIZI WAKUU WA WILAYA ZA DAR WANAJIANZISHIA NYUZI WENYEWE HAJAHAHA KULE HAPI KAANZISHA ZAKE NA WEWE POLEPOLE UNA ZAKO HUKU
umwambie ukose ajira?Kwahiyo nikianza mimi kumwambia ndo utaamini mimi si mpiga debe sio.
Haha, mwambie wewe basi ili mimi nikose ajira.umwambie ukose ajira?