Mh Polepole yupo Sahihi, Bararabara ya Mwanza -Musoma , tangu 2021 inajengwa na Kufumuliwa ! TANROAD Kwa Ufisadi imekithiri ! Serikali imelala

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu mnaweza dhania ni maajabu au ndoto ila huo ndio Ukweli.

Labda nianze Kwa kuwaliza, Huko kwenu, Bararabara za kwenu zinaweza Kukaa miaka mingapi bila Kufumuliwa na kujengwa Upya?.

Sasa hao ndio CCM, na hiyo ndio Serikali ya Awamu ya Tano ya Samia alowaambia watu wale Kwa urefu wa kamba yao!!.

Najiuliza, Hawa watu wa Mizani ya Uzito barabarani kazi yao ni KUPIGISHA WATU FAINI TU?.

Inamaana TANROADS na Wakandarasi wake , wanapojenga Barabara, Huwa hawatumii Takwimu za Mizani barabarani kujiwezesha kukadiria Ubora wa Mabarabara wanayoyajenga Kwa kuzingatia UZITO WA JUU WA MIZIGO AMBAYO IMEKUA INABEBWA NA MAGARI?.

Yaani Kwa mfano, Taarifa za Magari yalozidisha Uzito , Uzito wa juu ulikua kiasi gan Kwa Tani Kwa Magari mangapi na hivo Ujenzi wa Barabara uzingatie Kiwango Cha juu Cha Uzito ambao Magari yamizigo yanabeba.?.

Sasa MIZANI wanakamata Gari limezidisha Uzito, Linapigwa FAINI, ukichanganya na Rushwa, Gari hilohilo linaruhusiwa kuendelea na Safari zake ... HIZI NI AKILI AU MATOPE ???.

Sasa tuitazame Barabara ya Mwanza Musoma .

Kwa wakati wa Eneo hili, mtakubaliana namimi kua hiyo Barabara Kila Mwaka ,yaan Kila Mwaka tangu 2021 inajengwa, miezi Kadhaa ijayo, inafumuliwa, inajengwa Tena, miezi Kadhaa ijayo inafumuliwa.

TANROADS Mwanza -Mara, Huu ndio umekua Mradi wao wa Upigaji, Mabilioni ya Fedha yanaliwa hapo Kila Mwaka.

Haiingii akilini, unajemga Barabara Kwa Mabilioni , alafu baada ya miezi SITA Saba, inafumuliwa yote inajengwa Upya.

Hivi navyoandika hapa, Barabara hiii imefumuliwa kuanzia maeneo ya Magu mpaka karibia Bunda.

Unajiuliza Hawa Wapuuzi wa TANROADS, Huzingatia Standards gan wapojenga Mabarabara ?? Kwanini hawazingati Ubora na Uhai wa Barabara ??.

Inawezekanaje Barabara kujengwa na Kufumuliwa Kila Mwaka??.

TANROADS mnashindwa Jenga Barabara ambazo walau zinakua na Uhai wa miaka mitano mitano au kumi ??.

Ni Kwamba TANROADS ,Uongozi wenu ni uongozi ulioshindwa , wavivu na wazembe??.

Ni kwamba TANROADS ,Mmetanguliza Ufisadi na Rushwa mbele?? Kwamba Pesa ya kujenga Kilomita Moja nyie mnachakachua ijenge Kilomita mbili???

Ni kwamba TANROADS ,mnatumia Wakandarasi Vilaza wa Ndani na Nje ya Nchi wasokua na Uwezo kiasi Cha kutozingatia Ubora wa aina za Barabara zinazotakiwa kujenga ?.

Ni kwamba TANROADS,Huwa hamzingatii Takwimu za MIZANI juu ya Uzito wa juu wa MIZIGO inayobebwa na Magari ili kuwapa Sura halisi ya Ubora unaotakiwa ?

Ni kwamba Serikali imelala kiasi kwamba nayenyewe inashindwa kujiuliza, ni kwanini Tunajenga na kutumia Barabara Kila Mwaka ?? Yaan Barabara Moja inajengwa na Kufumuliwa Kila Mwaka ???.

Kwanini TANROADS, wanaliingiza Taifa Hasara ya Mabilioni Kila Mwaka Kwa kujenga Barabara zisizokua na Ubora ??.

Hawa wahuni wa TANROADS MWANZA -MARA walitakiwa Wafunguliwe kesi ya Uhujumu Uchumi Mara Moja.

HIZI sio sifa, na Wala hamtakiwi kumdanganya Mama yenu Samia kwamba mnafanya Kazi nzuri, mnajenga Barabara Kila siku, Huu ni Uhuni na uzembe wa hali ya juuu sana.

Mnashindwaje kujenga Barabara ikaishi walau miaka Mitano tu bila kuitundua tumdua Kila siku kama mnavyofanya?.

Mnawapatia Watanzania Usumbufu wa kijinga, mnalipotezea Taifa Mapato yake !!

Gwajima anaposema, JWTZ iwezeshwe, ipewe Tenda, ijenge Mabarabara, anamaanisha kuondoa mambo kama haya.

TANROADS Wanatakiwa waundiwe Chombo ambacho Baada ya Ujenzi wa Barabara kukamilika na kukabidhi, Chombo hiki kifanye Uchunguzi wake kuangalia Ubora wa Barabara ilokabidhiwa.

Bila hivo, TANROADS wataendelea kukabidhi Barabara zenye sura nzuri na rangi za kumeremeta alafu baada ya miezi SITA Wanaifumua Upya .

TANROADS MWANZA -MARA ACHENI UFISADI NA UZEMBE.
 
Wachina wanajenga SGR Mkuyuni wamebeba vifaa vyao na kuondoka site..
 
Ile barabara inaongoza kwa magari kanda ya ziwa.
Wazo lako ni zuri sana kwanini wasijenge barabara ya kukidhi viwango? Hizo pesa za maboresho mbona kama ni kijipa hasara tu
 
Nchi imejiozea na watu wake wameshauzoea huo uozo. Wenyewe wanaona deal kuingia bungeni tu kwenda kujikusanyia posho, access ya mikopo mikubwa na kugonga meza bila kuiwajibisha serikali. Mifumo na taasisi nyingi zinapaswa kufumuliwa na kusukwa upya na hili litawezekana tu pale wananchi wenyewe tutakapojua haki na nguvu yetu zidi ya uozo wote uliopo serikalini na katika taasisi zake.
 
Wakuu mnaweza dhania ni maajabu au ndoto ila huo ndio Ukweli.

Labda nianze Kwa kuwaliza, Huko kwenu, Bararabara za kwenu zinaweza Kukaa miaka mingapi bila Kufumuliwa na kujengwa Upya?.

Sasa hao ndio CCM, na hiyo ndio Serikali ya Awamu ya Tano ya Samia alowaambia watu wale Kwa urefu wa kamba yao!!.

Najiuliza, Hawa watu wa Mizani ya Uzito barabarani kazi yao ni KUPIGISHA WATU FAINI TU?.

Inamaana TANROADS na Wakandarasi wake , wanapojenga Barabara, Huwa hawatumii Takwimu za Mizani barabarani kujiwezesha kukadiria Ubora wa Mabarabara wanayoyajenga Kwa kuzingatia UZITO WA JUU WA MIZIGO AMBAYO IMEKUA INABEBWA NA MAGARI?.

Yaani Kwa mfano, Taarifa za Magari yalozidisha Uzito , Uzito wa juu ulikua kiasi gan Kwa Tani Kwa Magari mangapi na hivo Ujenzi wa Barabara uzingatie Kiwango Cha juu Cha Uzito ambao Magari yamizigo yanabeba.?.

Sasa MIZANI wanakamata Gari limezidisha Uzito, Linapigwa FAINI, ukichanganya na Rushwa, Gari hilohilo linaruhusiwa kuendelea na Safari zake ... HIZI NI AKILI AU MATOPE ???.

Sasa tuitazame Barabara ya Mwanza Musoma .

Kwa wakati wa Eneo hili, mtakubaliana namimi kua hiyo Barabara Kila Mwaka ,yaan Kila Mwaka tangu 2021 inajengwa, miezi Kadhaa ijayo, inafumuliwa, inajengwa Tena, miezi Kadhaa ijayo inafumuliwa.

TANROADS Mwanza -Mara, Huu ndio umekua Mradi wao wa Upigaji, Mabilioni ya Fedha yanaliwa hapo Kila Mwaka.

Haiingii akilini, unajemga Barabara Kwa Mabilioni , alafu baada ya miezi SITA Saba, inafumuliwa yote inajengwa Upya.

Hivi navyoandika hapa, Barabara hiii imefumuliwa kuanzia maeneo ya Magu mpaka karibia Bunda.

Unajiuliza Hawa Wapuuzi wa TANROADS, Huzingatia Standards gan wapojenga Mabarabara ?? Kwanini hawazingati Ubora na Uhai wa Barabara ??.

Inawezekanaje Barabara kujengwa na Kufumuliwa Kila Mwaka??.

TANROADS mnashindwa Jenga Barabara ambazo walau zinakua na Uhai wa miaka mitano mitano au kumi ??.

Ni Kwamba TANROADS ,Uongozi wenu ni uongozi ulioshindwa , wavivu na wazembe??.

Ni kwamba TANROADS ,Mmetanguliza Ufisadi na Rushwa mbele?? Kwamba Pesa ya kujenga Kilomita Moja nyie mnachakachua ijenge Kilomita mbili???

Ni kwamba TANROADS ,mnatumia Wakandarasi Vilaza wa Ndani na Nje ya Nchi wasokua na Uwezo kiasi Cha kutozingatia Ubora wa aina za Barabara zinazotakiwa kujenga ?.

Ni kwamba TANROADS,Huwa hamzingatii Takwimu za MIZANI juu ya Uzito wa juu wa MIZIGO inayobebwa na Magari ili kuwapa Sura halisi ya Ubora unaotakiwa ?

Ni kwamba Serikali imelala kiasi kwamba nayenyewe inashindwa kujiuliza, ni kwanini Tunajenga na kutumia Barabara Kila Mwaka ?? Yaan Barabara Moja inajengwa na Kufumuliwa Kila Mwaka ???.

Kwanini TANROADS, wanaliingiza Taifa Hasara ya Mabilioni Kila Mwaka Kwa kujenga Barabara zisizokua na Ubora ??.

Hawa wahuni wa TANROADS MWANZA -MARA walitakiwa Wafunguliwe kesi ya Uhujumu Uchumi Mara Moja.

HIZI sio sifa, na Wala hamtakiwi kumdanganya Mama yenu Samia kwamba mnafanya Kazi nzuri, mnajenga Barabara Kila siku, Huu ni Uhuni na uzembe wa hali ya juuu sana.

Mnashindwaje kujenga Barabara ikaishi walau miaka Mitano tu bila kuitundua tumdua Kila siku kama mnavyofanya?.

Mnawapatia Watanzania Usumbufu wa kijinga, mnalipotezea Taifa Mapato yake !!

Gwajima anaposema, JWTZ iwezeshwe, ipewe Tenda, ijenge Mabarabara, anamaanisha kuondoa mambo kama haya.

TANROADS Wanatakiwa waundiwe Chombo ambacho Baada ya Ujenzi wa Barabara kukamilika na kukabidhi, Chombo hiki kifanye Uchunguzi wake kuangalia Ubora wa Barabara ilokabidhiwa.

Bila hivo, TANROADS wataendelea kukabidhi Barabara zenye sura nzuri na rangi za kumeremeta alafu baada ya miezi SITA Wanaifumua Upya .

TANROADS MWANZA -MARA ACHENI UFISADI NA UZEMBE.
Hii barabara inaniharibia sana gari yangu hasa kipande cha mkoa wa simiyu chote ni kibaya mno, nimesha pinda ream mara 2 na kila ijumaa lazima niipite na j2 nageuza musoama
 
Hiyo Barabara niya kimataifa,lakini ajabu ni kwamba ndiyo inaongoza kwakuwa na viraka kuanzia Kisesa hadi Lamadi

Kuanzia Pale Ndabaka (Mpaka wa Mkoa wa Mara /Simiyu) kwenda hadi Musoma na Tarime/Sirari, Ile barabara imejengwa Kwa viwango vya kimataifa!,Ndivyo ilipaswa iwe hivyo kuanzia hapo Ndabaka hadi Kisesa
 
Barabara zote za Mwanza_Musoma, Mwanza_Shinyanga ni Takataka ila hiyo ya Musoma naona ndio imezidi sijui
 
Pigia mstari maneno haya ya Polepole. " Ni kama nyumba haina mwenyewe hivi!?".
 
Mimi naona kuanzia igunga- nzega-Tinde-Shinyanga-
Mwanza- Lamadi
Barabara ni mbovu na yenye viraka.

Isipokuwa sehemu chache.
 
Na huko Musoma ndo wanakotoka Maafisa wa teeth wengi. Hiyo siyo ishara kwamba Watawala wanawadharau hao teeth?
 
IMG-20250801-WA0089.jpg
 
Wakuu mnaweza dhania ni maajabu au ndoto ila huo ndio Ukweli.

Labda nianze Kwa kuwaliza, Huko kwenu, Bararabara za kwenu zinaweza Kukaa miaka mingapi bila Kufumuliwa na kujengwa Upya?.

Sasa hao ndio CCM, na hiyo ndio Serikali ya Awamu ya Tano ya Samia alowaambia watu wale Kwa urefu wa kamba yao!!.

Najiuliza, Hawa watu wa Mizani ya Uzito barabarani kazi yao ni KUPIGISHA WATU FAINI TU?.

Inamaana TANROADS na Wakandarasi wake , wanapojenga Barabara, Huwa hawatumii Takwimu za Mizani barabarani kujiwezesha kukadiria Ubora wa Mabarabara wanayoyajenga Kwa kuzingatia UZITO WA JUU WA MIZIGO AMBAYO IMEKUA INABEBWA NA MAGARI?.

Yaani Kwa mfano, Taarifa za Magari yalozidisha Uzito , Uzito wa juu ulikua kiasi gan Kwa Tani Kwa Magari mangapi na hivo Ujenzi wa Barabara uzingatie Kiwango Cha juu Cha Uzito ambao Magari yamizigo yanabeba.?.

Sasa MIZANI wanakamata Gari limezidisha Uzito, Linapigwa FAINI, ukichanganya na Rushwa, Gari hilohilo linaruhusiwa kuendelea na Safari zake ... HIZI NI AKILI AU MATOPE ???.

Sasa tuitazame Barabara ya Mwanza Musoma .

Kwa wakati wa Eneo hili, mtakubaliana namimi kua hiyo Barabara Kila Mwaka ,yaan Kila Mwaka tangu 2021 inajengwa, miezi Kadhaa ijayo, inafumuliwa, inajengwa Tena, miezi Kadhaa ijayo inafumuliwa.

TANROADS Mwanza -Mara, Huu ndio umekua Mradi wao wa Upigaji, Mabilioni ya Fedha yanaliwa hapo Kila Mwaka.

Haiingii akilini, unajemga Barabara Kwa Mabilioni , alafu baada ya miezi SITA Saba, inafumuliwa yote inajengwa Upya.

Hivi navyoandika hapa, Barabara hiii imefumuliwa kuanzia maeneo ya Magu mpaka karibia Bunda.

Unajiuliza Hawa Wapuuzi wa TANROADS, Huzingatia Standards gan wapojenga Mabarabara ?? Kwanini hawazingati Ubora na Uhai wa Barabara ??.

Inawezekanaje Barabara kujengwa na Kufumuliwa Kila Mwaka??.

TANROADS mnashindwa Jenga Barabara ambazo walau zinakua na Uhai wa miaka mitano mitano au kumi ??.

Ni Kwamba TANROADS ,Uongozi wenu ni uongozi ulioshindwa , wavivu na wazembe??.

Ni kwamba TANROADS ,Mmetanguliza Ufisadi na Rushwa mbele?? Kwamba Pesa ya kujenga Kilomita Moja nyie mnachakachua ijenge Kilomita mbili???

Ni kwamba TANROADS ,mnatumia Wakandarasi Vilaza wa Ndani na Nje ya Nchi wasokua na Uwezo kiasi Cha kutozingatia Ubora wa aina za Barabara zinazotakiwa kujenga ?.

Ni kwamba TANROADS,Huwa hamzingatii Takwimu za MIZANI juu ya Uzito wa juu wa MIZIGO inayobebwa na Magari ili kuwapa Sura halisi ya Ubora unaotakiwa ?

Ni kwamba Serikali imelala kiasi kwamba nayenyewe inashindwa kujiuliza, ni kwanini Tunajenga na kutumia Barabara Kila Mwaka ?? Yaan Barabara Moja inajengwa na Kufumuliwa Kila Mwaka ???.

Kwanini TANROADS, wanaliingiza Taifa Hasara ya Mabilioni Kila Mwaka Kwa kujenga Barabara zisizokua na Ubora ??.

Hawa wahuni wa TANROADS MWANZA -MARA walitakiwa Wafunguliwe kesi ya Uhujumu Uchumi Mara Moja.

HIZI sio sifa, na Wala hamtakiwi kumdanganya Mama yenu Samia kwamba mnafanya Kazi nzuri, mnajenga Barabara Kila siku, Huu ni Uhuni na uzembe wa hali ya juuu sana.

Mnashindwaje kujenga Barabara ikaishi walau miaka Mitano tu bila kuitundua tumdua Kila siku kama mnavyofanya?.

Mnawapatia Watanzania Usumbufu wa kijinga, mnalipotezea Taifa Mapato yake !!

Gwajima anaposema, JWTZ iwezeshwe, ipewe Tenda, ijenge Mabarabara, anamaanisha kuondoa mambo kama haya.

TANROADS Wanatakiwa waundiwe Chombo ambacho Baada ya Ujenzi wa Barabara kukamilika na kukabidhi, Chombo hiki kifanye Uchunguzi wake kuangalia Ubora wa Barabara ilokabidhiwa.

Bila hivo, TANROADS wataendelea kukabidhi Barabara zenye sura nzuri na rangi za kumeremeta alafu baada ya miezi SITA Wanaifumua Upya .

TANROADS MWANZA -MARA ACHENI UFISADI NA UZEMBE.
Tanroad haina pesa fuatilia mambo yanavyoenda wala sio Tarura wenye pesa Tanroad wana certificate kibao tu hawajalipa tena za miaka miwili nyuma Tarura vile vile mnataka kuwalaumu bure Tanroad na Tarura kwenye sekta ya barabara wakandarasi watamkumbuka Magufuli
 
Barabara ya kwenda mikoa ya kusini umekufa moja Kwa moja kuna zaidi ya km 300 inafumuliwa tena ....Hii barabara haina miaka kumi Toka imejengwa
 
Back
Top Bottom