Tetesi: Mh.Raila/Mh. Magufuli na siasa za Afrika Mashariki.

Kakumamoto

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Posts
1,237
Reaction score
1,696
Habari zenu Bandugu,
Naamini wote wana Afrika Mashariki tunajua urafiki wa karibu kati ya hawa viongozi wa kisiasa kwenye ukanda huu Tatizo ni hili Wakenya mnamlaumu Raila kwa kuudhoufisha upinzani toka alivyopeana mkono wa kheri na Mh. Kenyata. Kule Tz naskia vyama vya upinzani havitakiwi, vinatakiwa vife kabisa. Sasa hawa maswahiba nadhani wote lao moja siasa za upinzani zife. Kaeni chonjo huko Kenya.
 
Kwa Tanzania umeongopa au umesikia vibaya, wangetaka kuvifuta au vingekua havitakiwi wangepeleka mswada bungeni wakaviondoa kabisa maana wabunge wa chama tawala ni wengi mno kuliko hao wapinzani... so hao wanaosema hivo n watu wachache tu wanaopinga maendeleo na waliokosa uzalendo
 
Upinzani iko kwa damu ya kila mkenya. Haiwezi isha. Moi alijaribu lakini akashindwa ju karibu wanajeshi wamnyanganye urais.
Habari zenu Bandugu,
Naamini wote wana Afrika Mashariki tunajua urafiki wa karibu kati ya hawa viongozi wa kisiasa kwenye ukanda huu Tatizo ni hili Wakenya mnamlaumu Raila kwa kuudhoufisha upinzani toka alivyopeana mkono wa kheri na Mh. Kenyata. Kule Tz naskia vyama vya upinzani havitakiwi, vinatakiwa vife kabisa. Sasa hawa maswahiba nadhani wote lao moja siasa za upinzani zife. Kaeni chonjo huko Kenya.
 
Best unakufa memes so far,

-Unanyandua dame na doggie style manapata rabbies mnakufa

-unanunua punda 60k inakupiga teke unakufa

-unasomea tourism for four years, unaenda maasai Mara unashtuliwa na simba unakufa

-unapea dame mluyha roho yako anaikula unakufa

-unanunulia dame mluyha indomie anaisha nguvu anakufa

-Unaimba ña sauti ya kutoa nyoka pangoni hio nyoka inatoka inakuuma unakufa

-Unanyima Boy child Kiss, Unaenda Kwako unalala Mate Inakunyonga Unakufa

-unakiss mzee ako na ndevu refu, zinakunyonga unakufa

#unakufaaa
Una.......?
 
Aliyekwambia upinzani unaweza kuuwawa Afrika mashariki Ni Nani, yanajidanganya tu haya mazee
 
Tunataka tutawaliwe na wanzungu,
Ndo afrika tunarudi, kufukuza wazungu
Manana yake ni wazungu wawili wamteka MO kwa tz
Maana yake we need MO!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unaleta stori za kukufa Jf Mtanzania unashtuka, Unakufa
Best unakufa memes so far,

-Unanyandua dame na doggie style manapata rabbies mnakufa

-unanunua punda 60k inakupiga teke unakufa

-unasomea tourism for four years, unaenda maasai Mara unashtuliwa na simba unakufa

-unapea dame mluyha roho yako anaikula unakufa

-unanunulia dame mluyha indomie anaisha nguvu anakufa

-Unaimba ña sauti ya kutoa nyoka pangoni hio nyoka inatoka inakuuma unakufa

-Unanyima Boy child Kiss, Unaenda Kwako unalala Mate Inakunyonga Unakufa

-unakiss mzee ako na ndevu refu, zinakunyonga unakufa

#unakufaaa
Una.......?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji53][emoji53][emoji53] Sasa unadhani unajua Kenya kutuliko. Kenya is a democratic Nation. Kucheza na demokrasia ya kenya nikama kucheza na transformer ya stima. Wakenya Sio Tz ama UG where they entertain dictatorship. Hapa kenya the Law is the King, ukuwe president/governor/MCA huwezi pinga amri. Magufuli angekuwa President Kenya angehama after 5 years of serving, Ju powers za urais Kenya zimepunguzwa na sasa kuna governors ambao nikama Marais wa eneo wanaongoza. The maximum ruling period in Kenya ni 2 terms, thats 10 years. After 5 years tunaenda uchaguzi. Ukuwe ulihangaisha wanainchi unatimuliwa. That's why hamuwezi linganisha Kenya na Tz.
Ndio unavyojidanganya sio?
trend2-10.jpeg
 
Kwa Tanzania umeongopa au umesikia vibaya, wangetaka kuvifuta au vingekua havitakiwi wangepeleka mswada bungeni wakaviondoa kabisa maana wabunge wa chama tawala ni wengi mno kuliko hao wapinzani... so hao wanaosema hivo n watu wachache tu wanaopinga maendeleo na waliokosa uzalendo
Huu wimbo kautunga nani vile?
 
Kenya kuna wapinzani hadi ndani ya chama tawala, tena ambao kwenye uchaguzi walichaguliwa kupitia chama hicho. Mifano mizuri ni mbunge Alfred Keter na aliyekuwa gavana wa Bomet Issac Ruto na kawaida yao huwa wanapinga kila kitu kutoka kwa serikali wakati wao wenyewe wapo ndani ya serikali. Wana hadi wafuasi wao, wabunge wenzao kadhaa na madiwani pia. Wakifika kwenye bunge huwa wanabwaga chini miswada ya serikali yao na yeyote yule ndani ya chama chao hata iwe rais akijaribu kuwatishia huwa wanaenda mahakamani na wanashinda kesi dhidi yao. Yaani huwaambii kitu. Watani wetu wamezoea wanasiasa wao ma'yes man' ambao kila siku bungeni kawaida yao huwa ni kukata viuno na kusema ndiooooo! [emoji1]
 
Back
Top Bottom