Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Habari zenu Bandugu,
Naamini wote wana Afrika Mashariki tunajua urafiki wa karibu kati ya hawa viongozi wa kisiasa kwenye ukanda huu Tatizo ni hili Wakenya mnamlaumu Raila kwa kuudhoufisha upinzani toka alivyopeana mkono wa kheri na Mh. Kenyata. Kule Tz naskia vyama vya upinzani havitakiwi, vinatakiwa vife kabisa. Sasa hawa maswahiba nadhani wote lao moja siasa za upinzani zife. Kaeni chonjo huko Kenya.