Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Kwa Tanzania umeongopa au umesikia vibaya, wangetaka kuvifuta au vingekua havitakiwi wangepeleka mswada bungeni wakaviondoa kabisa maana wabunge wa chama tawala ni wengi mno kuliko hao wapinzani... so hao wanaosema hivo n watu wachache tu wanaopinga maendeleo na waliokosa uzalendoHabari zenu Bandugu,
Naamini wote wana Afrika Mashariki tunajua urafiki wa karibu kati ya hawa viongozi wa kisiasa kwenye ukanda huu Tatizo ni hili Wakenya mnamlaumu Raila kwa kuudhoufisha upinzani toka alivyopeana mkono wa kheri na Mh. Kenyata. Kule Tz naskia vyama vya upinzani havitakiwi, vinatakiwa vife kabisa. Sasa hawa maswahiba nadhani wote lao moja siasa za upinzani zife. Kaeni chonjo huko Kenya.
Habari zenu Bandugu,

Aliyekwambia upinzani unaweza kuuwawa Afrika mashariki Ni Nani, yanajidanganya tu haya mazeeHabari zenu Bandugu,
Naamini wote wana Afrika Mashariki tunajua urafiki wa karibu kati ya hawa viongozi wa kisiasa kwenye ukanda huu Tatizo ni hili Wakenya mnamlaumu Raila kwa kuudhoufisha upinzani toka alivyopeana mkono wa kheri na Mh. Kenyata. Kule Tz naskia vyama vya upinzani havitakiwi, vinatakiwa vife kabisa. Sasa hawa maswahiba nadhani wote lao moja siasa za upinzani zife. Kaeni chonjo huko Kenya.
Ndio unavyojidanganya sio?Upinzani iko kwa damu ya kila mkenya...
Tunataka tutawaliwe na wanzungu,Aliyekwambia upinzani unaweza kuuwawa Afrika mashariki Ni Nani, yanajidanganya tu haya mazee
Best unakufa memes so far,
-Unanyandua dame na doggie style manapata rabbies mnakufa
-unanunua punda 60k inakupiga teke unakufa
-unasomea tourism for four years, unaenda maasai Mara unashtuliwa na simba unakufa
-unapea dame mluyha roho yako anaikula unakufa
-unanunulia dame mluyha indomie anaisha nguvu anakufa
-Unaimba ña sauti ya kutoa nyoka pangoni hio nyoka inatoka inakuuma unakufa
-Unanyima Boy child Kiss, Unaenda Kwako unalala Mate Inakunyonga Unakufa
-unakiss mzee ako na ndevu refu, zinakunyonga unakufa
#unakufaaa
Una.......?
Ndio unavyojidanganya sio?
Nenda kawadanganye jamaa zako wa huko Turkana....Kenya is a democratic Nation...
Huu wimbo kautunga nani vile?Kwa Tanzania umeongopa au umesikia vibaya, wangetaka kuvifuta au vingekua havitakiwi wangepeleka mswada bungeni wakaviondoa kabisa maana wabunge wa chama tawala ni wengi mno kuliko hao wapinzani... so hao wanaosema hivo n watu wachache tu wanaopinga maendeleo na waliokosa uzalendo