Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
Nimefanya booking jana online, nimeamka alfajiri hii nataka nilipie ile reservation, the only reference ya booking niliyoona ni hiyo reservation number, najaribu kuingiza mpesa inakataa, naingia kwenye maelezo ya namna ya malipo yako shallow balaaaa hata hayaeleweki.
Nikisearch hiyo reservation yangu napata error [emoji50], napiga sim customer care kuna namba iko hapo juu, naambiwa hawajaamka nimebaki pending....
Nashikwa na hasira...
Huu ujamaa umetufanya nini watz, hatuwezi kutengeneza kitu interactive, flexible unaingia back and force, hatuwezi kuweka mtu customer care mda wote, watu wanasafiri anytime. Sio unapiga sim unaambiwa mda wetu wa kazi.. Blaaaa blaaaa....website imetengenezwa na armature kabisa hajui kitu....
Mhe Rais tunanunua ndge kwa ma billions ya watz maskini, ati kumanage tu kununua tkt hilo nalo ni tatizo...