Mh Rais Air Tanzania itakufa tena

Mh Rais Air Tanzania itakufa tena

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,151
Nimefanya booking jana online, nimeamka alfajiri hii nataka nilipie ile reservation, the only reference ya booking niliyoona ni hiyo reservation number, najaribu kuingiza mpesa inakataa, naingia kwenye maelezo ya namna ya malipo yako shallow balaaaa hata hayaeleweki.

Nikisearch hiyo reservation yangu napata error [emoji50], napiga sim customer care kuna namba iko hapo juu, naambiwa hawajaamka nimebaki pending....

Nashikwa na hasira...

Huu ujamaa umetufanya nini watz, hatuwezi kutengeneza kitu interactive, flexible unaingia back and force, hatuwezi kuweka mtu customer care mda wote, watu wanasafiri anytime. Sio unapiga sim unaambiwa mda wetu wa kazi.. Blaaaa blaaaa....website imetengenezwa na armature kabisa hajui kitu....

Mhe Rais tunanunua ndge kwa ma billions ya watz maskini, ati kumanage tu kununua tkt hilo nalo ni tatizo...
 
Nimefanya booking jana online, nimeamka alfajiri hii nataka nilipie ile reservation, the only reference ya booking niliyoona ni hiyo reservation number, najaribu kuingiza mpesa inakataa, naingia kwenye maelezo ya namna ya malipo yako shallow balaaaa hata hayaeleweki.
Nikisearch hiyo reservation yangu napata error [emoji50], napiga sim customer care kuna namba iko hapo juu, naambiwa hawajaamka nimebaki pending.... Nashikwa na hasira...
Huu ujamaa umetufanya nini watz, hatuwezi kutengeneza kitu interactive, flexible unaingia back and force, hatuwezi kuweka mtu customer care mda wote, watu wanasafiri anytime. Sio unapiga sim unaambiwa mda wetu wa kazi.. Blaaaa blaaaa....website imetengenezwa na armature kabisa hajui kitu....
Mhe Rais tunanunua ndge kwa ma billions ya watz maskini, ati kumanage tu kununua tkt hilo nalo ni tatizo...
 
Ndo watumishi wetu wa kibongo hao,kila kitu wanasubiri mpaka Rais aseme
 
Armature = Amateur

Usinichukie lakini point ni kwamba nchi hii bado sana.. sasa taasisi kama ATCL inaendeshwa unprofessionally, sio kitu cha ajabu..

Tunataka kupiga mahatua kwa lazima, lakini huku mamilioni ya watu bado hawana huduma za muhimu kabisa..

Hatuelewi vipaombele vyetu vinatakiwa yawe yapi..

Bado sana sana sana... Tutasubiri sana.. This is the SAD truth...

anyway pole sana bro..
 
Mpaka rais aende pale kuwakoromea ndo wanaamka, nchi yetu imeshindwa kujenga mfumo thabiti wa kutomtegemea mtu mmoja!! Tutasubiri sana
 
Armature = Amateur

Usinichukie lakini point ni kwamba nchi hii bado sana.. sasa taasisi kama ATCL inaendeshwa unprofessionally, sio kitu cha ajabu..

Tunataka kupiga mahatua kwa lazima, lakini huku mamilioni ya watu bado hawana huduma za muhimu kabisa..

Hatuelewi vipaombele vyetu vinatakiwa yawe yapi..

Bado sana sana sana... Tutasubiri sana.. This is the SAD truth...

anyway pole sana bro..
Umenena neno tamu kama kipande cha mkate wa peponi.
 
Kwani hili shirika lishafufuliwa? Naona kama linaendeshwa kisiasa sana, ndege imeandikwa hapa kazi tu mbaaafu. Mimi ntapanda kanya airways, rwandair na wengine wanaojua maana ya biashara!!
 
Ukitaka ufanisi wa biashara ya kisasa mahali kunapoendeshwa kwa ilani ya chama utawaonea bure mkuu
 
Serikali kujikita katika kufanya biashara sio sahihi
Inahuzunisha sana... Unapiga Customer care unaambiwa mda wetu wa kazi umeisha?? Booking unataka kulipia tkt hakuna hata maelekezo ya kujitosheleza.... Unabaki na reservation number lako tu....
 
Wape muda
What ?
Mara miaka inaenda ina rudi tuwape Muda. Hivi hawana uchungu na mabilioni ya Pesa yaliyolipwa kuirudisha Air Tanzania angani?

In fact hatua mmojawapo mamboresho ilifaa kuwaachisha Kazi wafanyakazi wote walikuwapo na kufanya rehiring kwa vigezo vipya na Mkataba wa Muda maalaum wa kudeliver. From Top to Bottom
 
Back
Top Bottom