Mh Rais Air Tanzania itakufa tena

Mh Rais Air Tanzania itakufa tena

life marangapi?? apaa tunaliendesha kwa hasara kulifunga tunaogopa wakina zito wasije pata chakuongea.

bora tuendelee kutumia mabilion ya watanzania kwa hasara wapinzani wasipate kiki.
 
Thread kama hizi hawazioni wanapita juu juu,
Mtukane hata Tulia Aksoni uone balaa lake.
Watajazana mapolisi kukutafuta mchana na usiku.
 
Pole i can imaging jaman.. inauzi mno hapo usisahu kwenda kukutana na delay ya ndege hata 5hrs eeee ukiwa huna any information

Hakuna shida maana hata hela ya ulinzi pale eapoti utalipia so ulinzi ni vere stongu...
 
Hayo ni matokeo ya ujamaa, watu wa taifa hili hawajui uwajibikaji hata kidogo, sio ofisi za serikali tu hata huko private wengi wa wafanyakazi wanasukumwa kama wanyama tu...
 
Hayo ni matokeo ya ujamaa, watu wa taifa hili hawajui uwajibikaji hata kidogo, sio ofisi za serikali tu hata huko private wengi wa wafanyakazi wanasukumwa kama wanyama tu...

The legacy of ujamaa
 
Aiseee unanikumbusha biashara ya hapa Geita, jana nimeenda kutoa mpesa nikatoa laki moja na elfu ishirini na mbili, jamaa ananipa laki moja na elfu ishirini ananiambia elfu mbili nitaidai ofisi hana change, nilimtazama nikamwambia acha ushamba wewe unafanya biashara nitafutie hiyo elfu mbili haraka sana sipendi ubabaishaji
 
hii ipo ofisi zote za umma, yake ma email ya mule ni bortion hayasomwagi, manamba ya customer care mengine hata kutumika hayatumiki
Mzee Baba, we acha tu.

Mi nimesikia viwanja vikitangazwa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, tena radioni na namba za simu wanataja na limerudiwa wiki kadhaa. Cha ajabu, wiki nzima ya kwanza hiyo namba haipatikani, wiki ya pili na ya tatu inapatikana lakini haipokelewi, wiki ya 4 mi nimeamua kutulia zangu, yawezekana wenye 'LADIO' wamekosea namba.
 
Ole wako ukute info@..
 
Duh hii kali! Au wewe ulikosea kuinukuu hiyo namba
 
Hili la customer care yao ni kweli wako shallow sana na wanafanya kazi muda mfupi saana.

Ila suala la booking na kulipia online wako vzr, nimefanya hivo juzi tu na nikafanikiwa kulipia bila shida yoyote.

Hongera kwao kwa good service ndani ya ndege wanajitahidi saana. Waendelee kukaza.

Hongera pia kwa kuwa na ndege iliyojaza full. Ni mara chache sana ndege huwa zinaja. Ila ktk safari yangu ya juzi (to and fro) ndege ilikuwa full. Hongera zao.
 
Yule wa uwanja wa ndege alionya msije kulalamika mitandaoni. Subiri kuchukuliwa hatua na utapigwa ban hakuna kusafiri na ndege zetu hadi kiama
 
hii ipo ofisi zote za umma, yake ma email ya mule ni bortion hayasomwagi, manamba ya customer care mengine hata kutumika hayatumiki
Na pale unapowapata kwenye simu utaambiwa Njoo ofisini au Njoo kesho.
 
Mwanzo nilidhani hivyo, nikamuomba wife asikilize radio mida hiyo anipatie namba. Akanipatia same number
Basi kuna namna.. inawezekana viwanja vitakua watu wamevishikilia, ukienda ofisini utapewa maelezo ya ukweli tofauti na hiyo bei elekezi ya kwenye tangazo. Bila shaka kwenye hilo tangazo bei ilikua inavutia sana.
 
Hili la customer care yao ni kweli wako shallow sana na wanafanya kazi muda mfupi saana.

Ila suala la booking na kulipia online wako vzr, nimefanya hivo juzi tu na nikafanikiwa kulipia bila shida yoyote.

Hongera kwao kwa good service ndani ya ndege wanajitahidi saana. Waendelee kukaza.

Hongera pia kwa kuwa na ndege iliyojaza full. Ni mara chache sana ndege huwa zinaja. Ila ktk safari yangu ya juzi (to and fro) ndege ilikuwa full. Hongera zao.

Dreamliner ilijaa?
 
Nimefanya booking jana online, nimeamka alfajiri hii nataka nilipie ile reservation, the only reference ya booking niliyoona ni hiyo reservation number, najaribu kuingiza mpesa inakataa, naingia kwenye maelezo ya namna ya malipo yako shallow balaaaa hata hayaeleweki.

Nikisearch hiyo reservation yangu napata error [emoji50], napiga sim customer care kuna namba iko hapo juu, naambiwa hawajaamka nimebaki pending....

Nashikwa na hasira...

Huu ujamaa umetufanya nini watz, hatuwezi kutengeneza kitu interactive, flexible unaingia back and force, hatuwezi kuweka mtu customer care mda wote, watu wanasafiri anytime. Sio unapiga sim unaambiwa mda wetu wa kazi.. Blaaaa blaaaa....website imetengenezwa na armature kabisa hajui kitu....

Mhe Rais tunanunua ndge kwa ma billions ya watz maskini, ati kumanage tu kununua tkt hilo nalo ni tatizo...
Tumeshindwa kwenye Mwendokasi tutaweza kwenye Ndege
 
Back
Top Bottom