E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 938 Reaction score 125 Dec 26, 2011 Thread starter #21 Kidatu said: Shibe ya pilau la X-mass inakusumbua. Click to expand... sawa bwana TAMBWE KIZAH !!!
SONGEA Senior Member Joined May 29, 2008 Posts 101 Reaction score 8 Dec 26, 2011 #22 Bitabo said: JK kuteua vimeo ni kawaida yake. Nakumbuka aliwahi kumteua DC huko Shinyanga wakati jamaa ana kesi ya rushwa mahakamani kama sijakosea Click to expand... Huyo jamaa alikuwa na kesi ya rushwa (ya uchaguzi wa ubunge). Sasa ni mkuu wa wilaya huko mkoani Manyara!
Bitabo said: JK kuteua vimeo ni kawaida yake. Nakumbuka aliwahi kumteua DC huko Shinyanga wakati jamaa ana kesi ya rushwa mahakamani kama sijakosea Click to expand... Huyo jamaa alikuwa na kesi ya rushwa (ya uchaguzi wa ubunge). Sasa ni mkuu wa wilaya huko mkoani Manyara!
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,361 Reaction score 2,378 Dec 26, 2011 #23 ndo maana mitihani ya darasa la saba ilivuja hivyo mwaka huu kumbe sterling alikuwa kwenye movie
E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 938 Reaction score 125 Dec 26, 2011 Thread starter #24 Inkoskaz said: ndo maana mitihani ya darasa la saba ilivuja hivyo mwaka huu kumbe sterling alikuwa kwenye movie Click to expand... wasipokuwa makini chungu kitakuwa cheupe !!! Maana aliyepewa ulinzi jikoni ni mdokozi aibu
Inkoskaz said: ndo maana mitihani ya darasa la saba ilivuja hivyo mwaka huu kumbe sterling alikuwa kwenye movie Click to expand... wasipokuwa makini chungu kitakuwa cheupe !!! Maana aliyepewa ulinzi jikoni ni mdokozi aibu