MH. Rais hapa ulichemka !!!

MH. Rais hapa ulichemka !!!

JK kuteua vimeo ni kawaida yake. Nakumbuka aliwahi kumteua DC huko Shinyanga wakati jamaa ana kesi ya rushwa mahakamani kama sijakosea

Huyo jamaa alikuwa na kesi ya rushwa (ya uchaguzi wa ubunge). Sasa ni mkuu wa wilaya huko mkoani Manyara!
 
ndo maana mitihani ya darasa la saba ilivuja hivyo mwaka huu kumbe sterling alikuwa kwenye movie
 
Back
Top Bottom