Mh.Rais hongera kwa hotuba yako nzuri ktk hafla ya kupokea ripoti na rasimu ya katiba

Mh.Rais hongera kwa hotuba yako nzuri ktk hafla ya kupokea ripoti na rasimu ya katiba

Nimeisoma rasimu kwa haraka haraka na kupitia yale maeneo nyeti...this is another reason kwa nn nampenda rais JK.ni zawadi kubwa sana kwa watanzania.
 
Pamoja na uzuri wa hotuba ni dhahiri nchi inatawaliwa na idadi kubwa ya "wakon'gwe" . Matumaini katiba mpya itachochea uongozi wa vijana.
 
Speaking from hotuba ya leo mh rais kaongea mambo ya mcngi sana katiba ni issue ya taifa zima sio ya makundi fulan either ya dini, siasa au kabila fulan ni ya taifa lote ni lazima tuweke pemben ili tupate katiba nzur .... .
kuna chama kimegoma
 
Leteni hiyo hutuba hapa tuone namna gani ya kumpongeza mana wengine ukimtaja mh.Rais wao wanampa sifa tu.,
 
Na ukimkataa wewe pia wamemkataa watanzania wote?? Wakati mwengine tuache siasa Raisi Kikwete hotuba yake ni njema kwa taifa

Wakati mwingine tukubaliane ingawa siyo rahisi kila mtu kukubaliana na mwingine, mheshimiwa rais leo kasema ukweli, mjadala wakatiba umetawaliwa na watu wakundi ya itikadi zao, Leo naungana na rais aliyoyasema ndiyo ndiyo ukweli.Kama kunamapungufu kwenye maeneo mengine tuyaseme wakati mwingine, kwahili la Leo yuko sahihi,
 
Back
Top Bottom