Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ANGALIA ID amejoin lini Jamii forum Mkuu NENDA NAYE TARATIBU MKUU NI MGENI HUYUMimi nachukulia NMB na nimepata trh 21.
Kuchafuana siyo kuzuri fanya utafiti kwanza.
Siku walimu wakicheleweshwa mshahara mwezi mzima watakufa njaa. Bora wenzao polisi wanachukua hata rushwa.Tulia ndugu mwalimu.
KAZI ni kipimo cha UTU
Bora wewe umenielewa. Mimi nikikuwa namdai mtu mmoja, aliahidi kulipa baada ya mshahara, leo ndo akaniambia habari hizo. Watumishi wa umma inaonekana wana manyanyaso kiasi fulani.Mtoa mada ana hoja, hivyo asishambuliwe. Ni kweli kuna watu walipata mshahara Jumamosi. Lakini kuna wengine wanaopitishia mishahara yao Nmb, ndiyo wamewekewa mchana wa leo Jumatatu. Na hata kwenye magroup ya whatsapp tulikuwa tunayaona haya malalamiko.
Hivyo serikali ingetoa mshahara kwa watumishi wake wote kwa wakati mmoja! Na isitumie huu utaratibu wa kutoa kwa mafungu! Kwa sababu unaweza kusababisha taharuki zisizo na ulazima.