Mh Rais ingilia fao la kujitoa

Mh Rais ingilia fao la kujitoa

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
652
Habarini wadai,
Niwazi mtu anayefukuzwa kazi ni vigumu kupata ajira nyingine kwa kigezo cha umri lakini mtu anayeachakazi mwenyewe mara nyingu huwa amepata sehemu nyingine,sasa kwanini aliyefukuzwa asipewe mafao yake bali aliyeacha ndiyo liangaliwe kwa mapana?
 
Back
Top Bottom