Mh Rais haya ni maoni yangu vile naiona serikali yako.
Mh Rais hongera kwa kazi ya ujenzi wa taifa ila kiukweli Mh Rais kama kunajambo wengi hatukuelewi ni pale unasema wewe ni mtumishi wetu na unamuomba Mungu asikupe kiburi na kwenda mbali kusema maendeleo hayana chama wala kabila wala dini. Zaidi unasema wewe ni Rais wa makabila yote na unawapenda masikini.
Mh Rais kauli yako ya maendeleo ni kitu sote hatupingi ila katika suala la ukabila na ukanda mpaka na udini kwa mbali Mh Rais hatukusomi unachosema sio kweli maana wenye akili tunaona wewe ni kweli ni Rais wa Watanzania ila pia ukanda unakutesa.
Ni katika kipindi chako malalmiko ya watu wako kubagua watu kwa ukanda wao na udini vinasikika viongozi wa kitaifa wanasema wazi kupinga kabila fulani na kulitukuza kabila fulani mbaya kuliko yote as haupangiwi hawa wanaoyafanya haya utawala wako unawalinda. Unawalinda kwa kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Wewe mwenyewe Mh Rais kuna wakati ulikuwa unasema watalii wote wanaendaKaskazini sasa ni wakati waende mbuga nyingine why Kaskazini? Mh Rais kama ulikuwa ni utani ama unamaanisha kauli yako imeleta tabu kwa watu wa makabila fulani kiasi watu sasa wanakana majina yao kuepuka hii mambo.
Chuki imekuwa kwa kiwango cha kutaka kuwa kama yaliyotokea Rwanda. Yule mtoto wako pendwa ndio usiseme then why haya yanatokea sasa? Je huu ndio utawala bora? Je maendeleo yako unatuletea unafikiri yatakuwa na faida gani while chuki ni kubwa katika jamii.
Kama unachagua ukweli huu ni ukweli ila kama unachagua uongo basi wapo watakwambia uongo ila mimi nionavyo chuki imekuwa sana ile neno umoja wa kitaifa imekufa tunachukiana jambo linatutesa sana sote tunaipenda serikali yetu.
Mh Rais watu wanaumizwa na hawana pakusemea why? Kuzaliwa kabila fulani au dini fulan au rangi fulani umabaguliwa kimya kimya nani anayetoa maagizo haya?