Mh Rais Magufuli! Usikubali kuwakabidhi SIMBA SC Kombe!

gango2

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
1,956
Reaction score
2,274
Mh Rais wetu ulotukuka, tafadhari kama unapita huku au kuna watu wako wanapita huku naamini watakufikishia ombi letu, naomba usikubali kwenda kuwakabidhi simba kombe la ubingwa kesho kwa sababu zifuatazo:

1. huyo mtu anajiita MANARA atatusumbua sana, kuwa wamepewa kombe na rais wa nchi
2. Muda huu sisi tunapitia wakati mgumu sana na tunatambua wewe u upande wetu utatuongezea unyonge
3. Kesho hapa mjini hasa wakati wa jioni tutapata tabu sana hasa sisi tunaokaa maeneo ya kariakoo, kigogo, Buguruni na maeneo ya karibu
4. Rais wangu kuwa 'FAIR' kidogo mbona sisi hukutukabidhi mwaka jana!
 
raisi wa TFF anatosha kwenye jambo dogo kama hili
 
Ahahaaaaaaaaa-JPM
Ni wa wote istoshe ameombwa na TFF sio SSC
 
Ninyi hakina na nani, ameshaukubali mealiko, kesho atakabidhi kombe, kwa mabingwa wapya 2018-2019.
Lengo la TTF ni kuishilikisha serikali, mambo ya soka.
Maumivu dawa yake panado, ama fanya kama anavyo fanya mzee Akili Mali, yeye anapoona dalili ya maumivu, hukimbilia huko Bagamoyo, yamoto mpaka ya powe, ndipo hurejea.
Na kama unabisha, kuhusu hili la mzee Akili, mpigie simu umuulize.
 
Simba bwana!. Yanga misimu mitatu walikuwa hawasumbui watu sijui ndio kulizoea?
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu ni sawa na demu uliyemuacha mwenzio ndo anakesha kumpiga sound
 
Simba bwana!. Yanga misimu mitatu walikuwa hawasumbui watu sijui ndio kulizoea?
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu ni sawa na demu uliyemuacha mwenzio ndo anakesha kumpiga sound
1. Manji: Nina uwezo wa kuwanunua wachezaji wote wa Simba, alafu wawe wanacheza tu huko ufukweni.
Mkemi: Sisi tupo kwenye hoteli ya kifahari, wenzetu wamepanga, nyumba ya mtu, wametandika mikeka chini, na wanakula mihogo.
Mlidhani Mungu, hawasikii, tulieni sasa ni zamu yetu.
 

kwa hiyo mlimuomba mungu nasi tuangukie pua???
 
Acha watani watulambishe ndimu tu msimu huu ila wajue ndio umeisha sasa. Msimu ujao wanarudi walikotoka
 
Poleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…