gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,956
- 2,274
Mh Rais wetu ulotukuka, tafadhari kama unapita huku au kuna watu wako wanapita huku naamini watakufikishia ombi letu, naomba usikubali kwenda kuwakabidhi simba kombe la ubingwa kesho kwa sababu zifuatazo:
1. huyo mtu anajiita MANARA atatusumbua sana, kuwa wamepewa kombe na rais wa nchi
2. Muda huu sisi tunapitia wakati mgumu sana na tunatambua wewe u upande wetu utatuongezea unyonge
3. Kesho hapa mjini hasa wakati wa jioni tutapata tabu sana hasa sisi tunaokaa maeneo ya kariakoo, kigogo, Buguruni na maeneo ya karibu
4. Rais wangu kuwa 'FAIR' kidogo mbona sisi hukutukabidhi mwaka jana!