AirorokiVava
JF-Expert Member
- Aug 25, 2026
- 258
- 302
Watanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma na kwamba tusikusikilize mkuu wa nchi yetu. Sasa hivi mheshimiwa Rais tuko gizani. Hii ni hujuma na chuki waliyonayo juu yako. Tunaomba tusikie hawa jamaa kuanzia meneja wa mkoa na wa wilaya waondolewe kwenye hizo.nafasi zao hata wafukuziwe mbali huko. Washenzi kabisa