AirorokiVava
JF-Expert Member
- Aug 25, 2026
- 258
- 302
Habari, ndugu mteja.Watanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma na kwamba tusikusikilize mkuu wa nchi yetu. Sasa hivi mheshimiwa Rais tuko gizani. Hii ni hujuma na chuki waliyonayo juu yako. Tunaomba tusikie hawa jamaa kuanzia meneja wa mkoa na wa wilaya waondolewe kwenye hizo.nafasi zao hata wafukuziwe mbali huko. Washenzi kabisa
Habari, ndugu mteja.Kazi ipo!!
Habari, ndugu mteja.Tanesco wapo chini ya nani???
Misenge mwingine bwana
Ndio vizuri sasa umeme ukatike ili watu tufanye kazi zisizohitaji umemeWatanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma na kwamba tusikusikilize mkuu wa nchi yetu. Sasa hivi mheshimiwa Rais tuko gizani. Hii ni hujuma na chuki waliyonayo juu yako. Tunaomba tusikie hawa jamaa kuanzia meneja wa mkoa na wa wilaya waondolewe kwenye hizo.nafasi zao hata wafukuziwe mbali huko. Washenzi kabisa
We jamaa punguza ushamba...katika zama hizi ambapo hotuba zinakuwa live streamed kwenye simu unawezaje kuifikiria hujuma kutoka Tanesko??Watanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma na kwamba tusikusikilize mkuu wa nchi yetu. Sasa hivi mheshimiwa Rais tuko gizani. Hii ni hujuma na chuki waliyonayo juu yako. Tunaomba tusikie hawa jamaa kuanzia meneja wa mkoa na wa wilaya waondolewe kwenye hizo.nafasi zao hata wafukuziwe mbali huko. Washenzi kabisa
Hili nimelisema kwa dhati...kwani ukipiga simu ya customer care inapokelewa na ufuatiliaji unafanyika.Asante kwa pongezi,
Tumepokea na tutazidi kwenda hatua zaidi katika kukupatia huduma bora.^NI
ACha kuzua taharukiWatanzania leo tarehe 30.10.2026 tunafuatilia sherehe ya uzinduzi wa makao makuu ya nchi yetu huko Dodoma tangia asubuhi. Ila u alivyoanza kuhutubia makamu wa pili wa Zanzibar TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wameamua kutukatia umeme makusudi ili tusifuatilie kinachoendelea huko Dodoma na kwamba tusikusikilize mkuu wa nchi yetu. Sasa hivi mheshimiwa Rais tuko gizani. Hii ni hujuma na chuki waliyonayo juu yako. Tunaomba tusikie hawa jamaa kuanzia meneja wa mkoa na wa wilaya waondolewe kwenye hizo.nafasi zao hata wafukuziwe mbali huko. Washenzi kabisa
Ndugu mteja,Hili nimelisema kwa dhati...kwani ukipiga simu ya customer care inapokelewa na ufuatiliaji unafanyika.
Nimemahangaa mleta mada kwa nini hakupiga simu badala yake kaanza kulaumu.
All in All kila la kheri