TANZIA Mh. Regina Rweyemamu, Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania afariki Dunia

View attachment 1701387
Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Regina Rweyemamu aliyefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Kitengule iliyopo Tegeta jijini Dar es salaam.

Msiba wa Jaji Mstaafu Rweyemamu uko nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

Taarifa Zaidi kuhusiana na msiba huu zitapatikana baadaye.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani...
 
View attachment 1701387
Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Regina Rweyemamu aliyefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Kitengule iliyopo Tegeta jijini Dar es salaam.

Msiba wa Jaji Mstaafu Rweyemamu uko nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

Taarifa Zaidi kuhusiana na msiba huu zitapatikana baadaye.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
I send my utmost condolences to her family members. May her soul rest in peace 🙏.
 
Hospital ya Kitengule Tegeta,naomba wasifu wake wakuu
 
Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Regina Rweyemamu aliyefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Kitengule iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam.

Msiba wa Jaji Mstaafu Rweyemamu uko nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es Salaam.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

Taarifa Zaidi kuhusiana na msiba huu zitapatikana baadaye.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
RIP Jaji na poleni sana wafiwa wote

Nashauri kada zote ziige utaratibu wa Mahaka kutangaza vifo vya watu wa kada wao
 
Sasa si mpeleke matangazo yenu kule Redio one kwa Marehemu Mengi!!
Kwani Kijazi wanatutangazia wa Nini
Wanamaliza Kodi zetu bure.amekufa anaoza fukia hakuna zaidi.onyesha shughuli za maendeleo.
Nini kikubwa alichofanya kutumalizia Kodi zetu
 
Oh Mama Regina.
Pumzika kwa amani Mh.
Poleni sana wanafamilia.
 
Back
Top Bottom