TANZIA Mh. Regina Rweyemamu, Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania afariki Dunia

MAMA YETU AMEMALIZA MWENDO
ULIEBAKIA UMEJIANDAE ROHOYAKO ITAKUWAA WAPI
TUBUNI MREJEE KWA MUNGU MLIOHAIRIP MOM
 

Attachments

  • Screenshot_20210218-211959.png
    41.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20210218-211940.png
    46.7 KB · Views: 4
Ni changamoto ya upumuaji.. Sasa ni wanasheria zaidi ya 25 wameshafariki kwa changamoto hii achia magonjwa mengine kuanzia Januari mwaka huu.
 
Mmm misiba kama ,vyuma vinalala, mahalifa,na uzoefu wa taifa unalala, from 2 week ago nimetuma rambirambi za misiba, ila nasema hata ifike 10 m nitaendelea kutumia, Hapa sio kwetu, but Hali ni mbaya,
Hivi waziri wa afya unasubili nini? Nchi moja serikali kushindwa tu kuwapa chanjo wahudum wa afya na kutoa kwa watu wengine KAJIHUZURU , wewe vipi ? Wizara YAKO sio ya longo longo ,yahitaji mahamuzi magum bila kujali nani kakuteua, haya ni maisha ya duniani tu ,utaondoka siku moja na hutozikwa na V8, majumba, pesa, waweza fanya mahamuzi magum, but ukabaki kwenye nyoyo za watu, we umeteuliwa kumsaidia kazi mh rais , ila siku zinavyoenda mh rais hawezi fanya Mambo yote ,some time mwampa mzigo mzito, sijui mpendwe, sijui kiti kitam, achana na Mambo hayo mkuu,
Fanya Jambo taifa likukumbuke, ukiwa hai au umekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…