Mh Ronaldo hizi sifa sasa CR7

Mh Ronaldo hizi sifa sasa CR7

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
5,630
Reaction score
2,169
Huyu MTU siji kumuona kama yeye katika historia
 
Attachments

  • FB_IMG_1517504331914.jpg
    FB_IMG_1517504331914.jpg
    26.9 KB · Views: 166
Ungeweka na ya strong foot pia... Na idadi ya mechi walzocheza mzee!!!
Af ungetuambia na msimu huu ronaldo hali vepe huko?????
Kabla hujaanza kuongea ujinga wako kumbuka ronaldo kaanza mpira miaka miwili kabla ya messi
 
Ushabiki nishike huku ndio huu
 
Ungeweka na ya strong foot pia... Na idadi ya mechi walzocheza mzee!!!
Af ungetuambia na msimu huu ronaldo hali vepe huko?????
Kabla hujaanza kuongea ujinga wako kumbuka ronaldo kaanza mpira miaka miwili kabla ya messi
Kuna watu wakimsikia CR7 matumbo yanauma...
 
Back
Top Bottom