Mh tuhurumie legeza hata kidogo tu

iJamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
1,960
Reaction score
1,502
Dah! kweli tunaisoma namba. Hadi kumbikumbi wamegoma kutoka kipind hiki watu wapate mboga [emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
 
Ebwana eeeee Hakuna na kumbikumbi wala senene. Mbu tu wameongezeka!
 
Ebwana eeeee Hakuna na kumbikumbi wala senene. Mbu tu wameongezeka!
Hii hali mtu anaweza kufikiri masihara ila hali mbaya sana hakuna pa kuponea aiseeh
 
watu tunajikaza tu kidume dume, kitaeleweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…