Mh tuhurumie legeza hata kidogo tu

Mh tuhurumie legeza hata kidogo tu

iJamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
1,960
Reaction score
1,502
Dah! kweli tunaisoma namba. Hadi kumbikumbi wamegoma kutoka kipind hiki watu wapate mboga [emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
 
Ebwana eeeee Hakuna na kumbikumbi wala senene. Mbu tu wameongezeka!
 
watu tunajikaza tu kidume dume, kitaeleweka tu
 
Back
Top Bottom