Mh.UHURU KENYATTA kuwa Makini SANA!

Mh.UHURU KENYATTA kuwa Makini SANA!

kwahiyo mlimsamehe miguna siku zote mpaka alipomwapisha raila ndiyo mkakumbuka issue ya uraia???

Narudia tena, ukiwa na nia ya kuchokonoa utawala, hakikisha huna makaburi ya kufukuliwa, ifahamike usalama wa taifa wana taarifa za kila mmoja wetu, hapo ulipo wanakufahamu zaidi ya unavyojijua wewe.

Siku ukianza kumzingua mkulu, ndio utashangaa, watakuonyesha movie ya maisha yako tangu utotoni.
 
Labda baadaye sana, ila kama hamkuyumbisha CCM 2015, sidhani kama ipo siku, maana kwa kweli 2015 mlishambulia kama kimbunga, mlikua na mawaziri wakuu wa zamani, tena watu wa kusikika kama Lowassa ambao wanaujua mfumo wote wa CCM ndani na nje.
Kwa sasa mtu mmoja Zitto Kabwe ndiye amebaki anabweka, japo anazushiwa uraia, Mbowe kapigishwa kimya jela, Lowassa huwa namuona anajongea jongea ikulu wanapiga stori na mkulu, juzi hata alitumwa salamu za Mbowe.
Upinzani wamepoteana yaani wanatafuta pa kushikilia kiasi kwamba chochote kikiibuka wanajaribu kutoka nacho, juzi CAG wenu alijaribu kuwapa pakutokea, ila naona naye amekalishwa chini, yupo tayari kumsujudu Ndugai.

Japo siwezi kuwacheka maana hata upinzani kwetu ni kama umefutika, hata sijui nani ndiye nani au anasema nini. Ni wazi na lisilopingika kwamba Ruto ataongoza nchi kuanzia 2022.
Ruto asahau, mark me words and date.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruto asahau, mark me words and date.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni vigumu kutabiri kwa sasa, ila kwa maoni yangu uwezekano uko mkubwa aidha kati ya Ruto na Raila, japo Raila angefaulu kama upinzani ungeendelea kuwa kimoja, lakini kwa walivyosambaratika na kupoteana kama wa huko kwenu sioni matumaini hapo. Ikumbukwe Ruto ni naibu wa rais, hivyo tayari nguvu za dola anazo mkononi, halafu huwa mjanja mjanja sana jamaa, isingekua kwa uwepo wake serikalini, upinzani ungechukua uongozi kitambo, amekingia kifua kwa muda mrefu.
 
Narudia tena, ukiwa na nia ya kuchokonoa utawala, hakikisha huna makaburi ya kufukuliwa, ifahamike usalama wa taifa wana taarifa za kila mmoja wetu, hapo ulipo wanakufahamu zaidi ya unavyojijua wewe.

Siku ukianza kumzingua mkulu, ndio utashangaa, watakuonyesha movie ya maisha yako tangu utotoni.
mimi sioni unafuu wowote wa siasa za kenya kuliko tz ni janjajanja tu,tusubiri part2 movie ya hand shake,ni yale yale ya kenyata na jalamogi
 
nitakufundisha sarufi na muundo. lkn kwa leo ngoja nikazie tofauti kati ya kundisha na kufunza.
angalia vizuri kwenye hiyo kamusi neno funza linatia ndani kulea, yaani kutia nidhamu katika njia nzuri.

Hivyo ina maana umejitoa ufahamu, hukuona visawe fundisha, elimisha, somesha n.k.
Halafu naona umeshindwa kupokea elimu ya kuzingatia umuhimu wa alama za vituo, uandishi wako nikimpa mwanangu asahihishe ataishia kukuhurumia.
Itabidi nikuache uonekane umeshinda kama ilivyo kawaida, huwa nakuachia ujishebedue, lakini kiundani unahitaji usaidizi likija suala la uandishi wa lugha.

First character in a statement should begin with a capital letter, ensure use of capital letter immediately after full stop, these are elementary grammar lessons in a typical lower primary school.
 
Ahaaa haaa haaa
yaani mpaka na kuwa referee wa articles za professional journals kubwa kubwa dunia nisijue baada ya kituo ni herufi KUBWA. nimefundishwa na walimu bora na waliokuwa na mioyo ya kujituma. wasingekubali hilo litokee.
Ahaaa haaa haaa
JF hatufanyi formal communication mpaka tuzingatie alama zote za uandishi.
 
Back
Top Bottom