Nunc dimittis
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 1,142
- 777
Soma sweet secrets,sugar smuggling ilioandikwa na prof.wa denmark ucheke kdf road block3,alshabaab wao mbili ni aibuSio Alshabaabu ni Mkuu wa mkoa wa Juba ndio anapiga deal na Kdf.
Soma sweet secrets,sugar smuggling ilioandikwa na prof.wa denmark ucheke kdf road block3,alshabaab wao mbili ni aibuSio Alshabaabu ni Mkuu wa mkoa wa Juba ndio anapiga deal na Kdf.
kwahiyo mlimsamehe miguna siku zote mpaka alipomwapisha raila ndiyo mkakumbuka issue ya uraia???
Ruto asahau, mark me words and date.Labda baadaye sana, ila kama hamkuyumbisha CCM 2015, sidhani kama ipo siku, maana kwa kweli 2015 mlishambulia kama kimbunga, mlikua na mawaziri wakuu wa zamani, tena watu wa kusikika kama Lowassa ambao wanaujua mfumo wote wa CCM ndani na nje.
Kwa sasa mtu mmoja Zitto Kabwe ndiye amebaki anabweka, japo anazushiwa uraia, Mbowe kapigishwa kimya jela, Lowassa huwa namuona anajongea jongea ikulu wanapiga stori na mkulu, juzi hata alitumwa salamu za Mbowe.
Upinzani wamepoteana yaani wanatafuta pa kushikilia kiasi kwamba chochote kikiibuka wanajaribu kutoka nacho, juzi CAG wenu alijaribu kuwapa pakutokea, ila naona naye amekalishwa chini, yupo tayari kumsujudu Ndugai.
Japo siwezi kuwacheka maana hata upinzani kwetu ni kama umefutika, hata sijui nani ndiye nani au anasema nini. Ni wazi na lisilopingika kwamba Ruto ataongoza nchi kuanzia 2022.
Ruto ndiyo chaguo lake, anajaribu kueneza propaganda zake kutetea tumbo lake.
aru serious!!!ya zamani????Story ya zamani?!
mimi sioni unafuu wowote wa siasa za kenya kuliko tz ni janjajanja tu,tusubiri part2 movie ya hand shake,ni yale yale ya kenyata na jalamogiNarudia tena, ukiwa na nia ya kuchokonoa utawala, hakikisha huna makaburi ya kufukuliwa, ifahamike usalama wa taifa wana taarifa za kila mmoja wetu, hapo ulipo wanakufahamu zaidi ya unavyojijua wewe.
Siku ukianza kumzingua mkulu, ndio utashangaa, watakuonyesha movie ya maisha yako tangu utotoni.
kenya practically ni one party now!!!!!Ruto ndiyo chaguo lake, anajaribu kueneza propaganda zake kutetea tumbo lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
soma ripoti acha uvivu boss!!!Sio Alshabaabu ni Mkuu wa mkoa wa Juba ndio anapiga deal na Kdf.
nitakufundisha sarufi na muundo. lkn kwa leo ngoja nikazie tofauti kati ya kundisha na kufunza.
angalia vizuri kwenye hiyo kamusi neno funza linatia ndani kulea, yaani kutia nidhamu katika njia nzuri.
Hivyo ina maana umejitoa ufahamu, hukuona visawe fundisha, elimisha, somesha n.k.
Halafu naona umeshindwa kupokea elimu ya kuzingatia umuhimu wa alama za vituo, uandishi wako nikimpa mwanangu asahihishe ataishia kukuhurumia.
Itabidi nikuache uonekane umeshinda kama ilivyo kawaida, huwa nakuachia ujishebedue, lakini kiundani unahitaji usaidizi likija suala la uandishi wa lugha.
First character in a statement should begin with a capital letter, ensure use of capital letter immediately after full stop, these are elementary grammar lessons in a typical lower primary school.