Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
inavyoonekana hujui maan ya masters degree nini? haiwezekani ukapata masters bila ya bachelor degree au Advanced diploma.
 
Ni kweli kuwa UK Masters wanatoa ya mwaka mmoja lakini lazima uwe umesoma kwenye acredited University. Shida yangu si Masters, ni entry qualification za BOT. BoT entry qualification ya Idara zote, isipokuwa IT na Accounts ni Masters. Na hii ilianza tangu mwaka 2004 kama sikosei. Yeye aliingia 2006 kwa cheti cha diploma!!!! Hapa kuna shida ya credibility ya Taasisi - BOT. Hapa ndio utajua mtoto wa maskini hana nafasi na kama anayo lazima awe na kitu cha kutoa kuwaridhisha watoaji. I am also told she can not deliver as such! Huko CCM kunamfaa maana ndio watu wa jinsi hiyo wanawahitaji.
 

Una mawazo mazuri lakini katika mazingira yake. Hapa kinachoongelewa siyo kwamba hajasoma bali "content" za CV yake mfano maendeleo ya kasi ya ajabu katika haya:

1. Public Relations Officer III hadi I
2. Certificate hadi Msc
3. Kuanza shule ya msingi (enzi za mwalimu) na miaka 4 miezi 4 nk.
 
Vick ni mtu wangu wa karibu sana..nitamwambia kesho atoroke bungeni aende internet cafe ajibu hizi tuhuma maana naamini huu ni wivu wa kisiasa na kumchafulia jina lake zuri hasa kupitia kibao chake cha wanawake na maendeleo kinachompa uhakika wa kurudi bungeni 2015...

Atajibu tuu hizi siasa za majitaka mnazomuanzishia.
 

Hizi publication zipo kwenye medium gani? journals, e-journals, reports, dissertations/theses in university/college libraries au wapi? Halafu naona kama ni mbili tu hiyo ya Pride na MBA zimejirudia-rudia tu mara nne kila moja. Au sijaelewa vizuri, the same title and case study inaweza kumaanisha studies tofauti nne in the same year, same place...

Pia hiyo MSc ndio dissertation yake ni hiyo case study au?
 
hizo ndio cv za kibongo, hapo ukiangalia kwa makini kacheza na miaka ili cv yake ibalance kwenye vyuo fake alivyotujazia hapo, toka lini
ESAMI ikatoa degree? Pale sanasana ni training week2 au 3 unachapa lapa, mmh hiyo cv utata mtupu,
hivi0kwani kuna tatizo gani mtu ukiandika cv yako yakweli hata kama umeishia lasaba ukasoma kozi za
mtaani hatimaye ubunge viti maalum kuna ubaya gani ukiwa wazi au umechaguliwa
na wananchi kuna tatizo gani kwako siumechaguliwa,?! Kulikoni watu kußjisifia na msc za uongo


a u


0
 

Ayse hii kali, mimi siku zote nilifikiria zile mbwembwe za St.Augustine ilikuwa ni degree inayohusika, kumbe napo ilikuwa ni certificate tu, mhhh, ni kweli mzee connection ya background yake inashindwa kuunganishwa na kuchukua masters.
 
Hii imechakachuliwa ni uongo tupu. Ila kwa uzoefu wangu Tanzania vijana wengi waliosema wamekwenda nje ya nchi kusoma wamerudi na Vyeti fake, wengine hawakumaliza ada kwa hiyo hata transcript hawakupewa. Kuna mmoja mtoto wa Mzee Rwegasira alitokea Birmingham, alikuja amefake vyeti ni balaa lakini sababu ni demu na ana **** kubwa huwa anapeta tuu.
 
haya mambo ya kudanganya cv ili upate kazi ambayo sio hadhi ya elimu
yako, yanakera sana, mimi kuna bosi wangu kazini
ndio injinia anayetegemewa lakini ni msumbufu balaa akipewa kazi anaomba mtu mwingineaifanye yaani00
Ni chenga za hapa napale ila cv yake inaonyesha katuzidi wote kielimu0 hakuna
chuo cha hapa tz alichosomea vyote ni india na UK, lakini hakuna kazi anayoiweza hata vikazi vya
kiufundi wa setifiketi hawezi eti huyo injinia mwenye msc,
hayo ndio mambo ya kufoji vyeti ili cv ivujitie




0 0










0
 
nilishashangaa form 1 hawajui kuandika, siwezi shangaa mwenye kijicheti kuwa na Masters na publications kibao. BEAUTY (alone) PAYS in any crooked society.
 
khaazi kwelkweli kuungaunga si ndo zetu bana acha ale bata mtoto wa watu ebo si alikuwa nanhi wa Vasco de travel ndo akapandishwa chati ghafla
 

afu mbona naona MBA mara MSc sielewi vizuri ama
 
du, itabidi afanye kazi ya ziada kujibu hizi tuhuma.
Ninavyojua mimi hata UDSM, Mzumbe, Tumaini, SAUT na hata Makerere kuna Professors ambao waliishia Form IV mwanzoni lakini ukiangalia profile zao utakubaliana nao maana kila hatua moja ilifuatiwa na nyingine mpaka kufikia doctorate.
Kumshawishi hata mtoto wa Form IV kutoka shule ya kata kuwa mtu anatoka na certificate (tena ya 'Data star') na kupata Masters ya engeenering MSc sio kitu rahisi.

Matokeo ya scenario kama hizi ni pale Wakenya/Waganda wenye Form IV wanapokuja hapa wanaweza kuwa challenge watz (bila shaka kama Mh. Vick Kamata) wenye Masters! Kwa hakika ni maajabu!!!!!!

 
Mmmh hii cv inatia mashaka. Diploma aliyopata kapewa of what field, Secondly Msc inaweza somwa na m2 amnaye either and advanced diploma au degree. Sasa hapo cjaona sehemu yoyote kama ana adv dipl au degree
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…